Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Hoja yako n nzur lakin haifanyi kazi katika uhalisia, kwasababu ipo against nature.

Mfumo ulisha simikwa, kwamba mwanamke ata zaa kwa uchungu na tamaa yake itakua kwa mumewe naye atamtawala.

Vyovyote vile mwanamme atabaki kua kichwa, mwanamke n msaidizi anapaswa kujazia palipo pungua kwa mmewe, kuheshimu, kutii na kunyenyekea.
 
Maelezo ya ovyo sana haya....nimejikuta nakasirika tu kusoma uzi huu wa kipuuzi
 
Tafuta mwanamke wa kawaida OA


Achana na wanawake wajuaji,wanaharakati la sivyo utakufa mapema sana 🀣

Wanawake wanaoolewa siku hizi ni wale wakawaida kabisa ambao huwezi dhania,wala sio wazuri sana kiivo
 
Demokrasia.!??

Kuishi na Mke asiyekuheshimu mkuu unaona ni sawa..!??????...

Hakika WANAUME tunahitaji maombi..

The unpaid Seller toa neno Bro.
Oa mwanamke wa kawaida ambae hataa maji yakikatika nyumbani anaweka ndoo kichwani anaenda chota


Achana na wanawake wajuaji, wanaharakati.

La sivyo,utalimia meno 😁😁
 
Kiufupi mleta uzi kakubali waziwazi kuwa yeye ni meanaume wa daraja la pili ( under dog ) na sio giant type of really man .
 
Ndio hapo sasa wanapenda kweli kupelekesha wanawake
Sio kupelekesha, kwahiyo Mwanamke asinifulie, asinitengee maji ya kuoga...kwani akifanya hivyo ni Utumwa au jukumu lake na ni sehemu ya kuonesha Mapenzi na kujali

Tunapoambiwa Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume unafikiri ni msaidizi katika Ushauri tu?
 
Wanaume wengi wakioa wanakua walemavu ghafla. Mtu hawezi hata kujisogezea glass anataka afanyiwe kila kitu wanadhani wake zao ni maroboti hawachoki.
Si amepata Msaidizi? Hayupo tena peke yake.
 
Kuna familia moja naiona yani ety mkewe akiondoka atakusanya nguoo chafu mpka mkewe arud......akitoka kazni kila kitu anfnyiwa na mkewe had maji ya kunywa anatengewaa...mpaka nahis kuolewa utumwa
Inawezekana wewe ndio unahisi kuolewa ni Utumwa, yeye hajalalamika na anaona poa tu. Huwezi jua Mume wake ana majukumu mazito kiasi gani.
 
Waambie hao eti mwanaume anataka apelekewe maji bafuni ya kuoga yeye kujiepelekea hawezi πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza kuna mambo ni ya kipuuzi, mikono anayo, bafu analijua sasa apelekewe ili iweje.
Ukoloni wa kijinga tu.
 
Makasiriko makali sana, tulieni na sisi tufanye kazi shida iko wapi.
Mnataka kutuburuza kama vile ni watumwa wenu!?? yaani kuna mijanaume inataka hata ile pumzi anayotoa basi ipumuliwe na mke wake ila ndo vile tena haiwezekani.
 
Makasiriko makali sana, tulieni na sisi tufanye kazi shida iko wapi.
Mnataka kutuburuza kama vile ni watumwa wenu!?? yaani kuna mijanaume inataka hata ile pumzi anayotoa basi ipumuliwe na mke wake ila ndo vile tena haiwezekani.
Nasema ukweli πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Makasiriko makali sana, tulieni na sisi tufanye kazi shida iko wapi.
Mnataka kutuburuza kama vile ni watumwa wenu!?? yaani kuna mijanaume inataka hata ile pumzi anayotoa basi ipumuliwe na mke wake ila ndo vile tena haiwezekani.
Usipo mujeshimu mumeo nakuambia UTANYOOKA WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…