Hizo ni chachu ya kuongeza mapenzi kwa style hiyo Wanaume Zenu wataendelea kutafuta michepuko Mwanamke lazima uwe unajiongeza kwa mume wakoWanaume wengi wakioa wanakua walemavu ghafla. Mtu hawezi hata kujisogezea glass anataka afanyiwe kila kitu wanadhani wake zao ni maroboti hawachoki.
Ndio mapenzi yalivyo bibie kea jinsi unavyobehave Muombe Mungu mume wako asipate mchepuko wa kitanga au pwani utasaga meno SanaWanaume wengi wakioa wanakua walemavu ghafla. Mtu hawezi hata kujisogezea glass anataka afanyiwe kila kitu wanadhani wake zao ni maroboti hawachoki.
Kwani kuna siku wanaume mmewahi kuwa na sababu za msingi za kuwa na michepuko? Hata mfanyiwe yote ulimwenguni hapa mkiamua kutoka nje mnatoka.Hizo ni chachu ya kuongeza mapenzi kwa style hiyo Wanaume Zenu wataendelea kutafuta michepuko Mwanamke lazima uwe unajiongeza kwa mume wako
Dah!..we differNi afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.
Aah tushawazoea nyie, unamuhangaikia mtoto wa mtu bado nje anakipeleka na kuhamia kabisa.Ndio mapenzi yalivyo bibie kea jinsi unavyobehave Muombe Mungu mume wako asipate mchepuko wa kitanga au pwani utasaga meno Sana
Labda huyo mwanaume awe ni malaya by nature mbona mimi nilipataga demu mmoja wa kislamu wa kitanga huyo demu anajua kutreat mwanaume kiasi ambacho unajiona mwanaume unapendwa Sana upo pekee yako huyo demu alikuwa ananifulia nguo na kunipigia paso bila hata mimi kumuomba au kumwambia nilikuwa naogeshwa, nalishwa nikiwa kwenye mishe mishe zangu unaulizwa baby nikupikia nini leo by the way nilipataga mahaba ambayo mengine sijawahi kupata kwa mwanamke yoyote huyo manzi alinifanya nisitamani kuwa na mwanamke yoyote nami Nilimpenda Sana kiasi mpaka watu wakawa wanadhani nimelishwa limbwata kumbe ni mambo niliyokuwa nayapata ni adimu.Kwani kuna siku wanaume mmewahi kuwa na sababu za msingi za kuwa na michepuko? Hata mfanyiwe yote ulimwenguni hapa mkiamua kutoka nje mnatoka.
Nishakuambia dada yangu wewe unapenda mwanaume ambaye ni malaya by nature. Mwanamme anayejielewa na mwenye tabia nzuri ukimtreat vizuri hawezi kuangaika na wanawake wengineAah tushawazoea nyie, unamuhangaikia mtoto wa mtu bado nje anakipeleka na kuhamia kabisa.
Sasa si ndio mpaka hao wapenzi wapendane kweli na waamue kwa dhati ya mioyo yao kutulia. Ila kwa wengi ni mabalaa tu na vile mapenzi ya kipindi hiki ni full kuviziana basi tabu tupu.Labda huyo mwanaume awe ni malaya by nature mbona mimi nilipataga demu mmoja wa kislamu wa kitanga huyo demu anajua kutreat mwanaume kiasi ambacho unajiona mwanaume unapendwa Sana upo pekee yako huyo demu alikuwa ananifulia nguo na kunipigia paso bila hata mimi kumuomba au kumwambia nilikuwa naogeshwa, nalishwa nikiwa kwenye mishe mishe zangu unaulizwa baby nikupikia nini leo by the way nilipataga mahaba ambayo mengine sijawahi kupata kwa mwanamke yoyote huyo manzi alinifanya nisitamani kuwa na mwanamke yoyote nami Nilimpenda Sana kiasi mpaka watu wakawa wanadhani nimelishwa limbwata kumbe ni mambo niliyokuwa nayapata ni adimu.Ni manzi ambaye nilipanga kabisa nije nimuoea sema shida ilikuwa ipo kwa Wazazi wake hawakutaka nimuoea binti yao kwasababu nilikuwa mkristo nilikula beat sizamchezo kwa kaka yake na baba yake na wewe unajua vizuri waislamu hawanaga utani linapokuja kwenye dini unaweza kufanywa chochote so nikaona Bora niachane na huyo manzi ingawa yeye akupenda lakini sikuwa najinsi.
Mmh! SawaNishakuambia dada yangu wewe unapenda mwanaume ambaye ni malaya by nature. Mwanamme anayejielewa na mwenye tabia nzuri ukimtreat vizuri hawezi kuangaika na wanawake wengine
Ila ukilishwa limbwata hujui😅😅😅Labda huyo mwanaume awe ni malaya by nature mbona mimi nilipataga demu mmoja wa kislamu wa kitanga huyo demu anajua kutreat mwanaume kiasi ambacho unajiona mwanaume unapendwa Sana upo pekee yako huyo demu alikuwa ananifulia nguo na kunipigia paso bila hata mimi kumuomba au kumwambia nilikuwa naogeshwa, nalishwa nikiwa kwenye mishe mishe zangu unaulizwa baby nikupikia nini leo by the way nilipataga mahaba ambayo mengine sijawahi kupata kwa mwanamke yoyote huyo manzi alinifanya nisitamani kuwa na mwanamke yoyote nami Nilimpenda Sana kiasi mpaka watu wakawa wanadhani nimelishwa limbwata kumbe ni mambo niliyokuwa nayapata ni adimu.Ni manzi ambaye nilipanga kabisa nije nimuoea sema shida ilikuwa ipo kwa Wazazi wake hawakutaka nimuoea binti yao kwasababu nilikuwa mkristo nilikula beat sizamchezo kwa kaka yake na baba yake na wewe unajua vizuri waislamu hawanaga utani linapokuja kwenye dini unaweza kufanywa chochote so nikaona Bora niachane na huyo manzi ingawa yeye akupenda lakini sikuwa najinsi.
Ukipata demu wa hv,, nje uende kuhangaika kufanya nnLabda huyo mwanaume awe ni malaya by nature mbona mimi nilipataga demu mmoja wa kislamu wa kitanga huyo demu anajua kutreat mwanaume kiasi ambacho unajiona mwanaume unapendwa Sana upo pekee yako huyo demu alikuwa ananifulia nguo na kunipigia paso bila hata mimi kumuomba au kumwambia nilikuwa naogeshwa, nalishwa nikiwa kwenye mishe mishe zangu unaulizwa baby nikupikia nini leo by the way nilipataga mahaba ambayo mengine sijawahi kupata kwa mwanamke yoyote huyo manzi alinifanya nisitamani kuwa na mwanamke yoyote nami Nilimpenda Sana kiasi mpaka watu wakawa wanadhani nimelishwa limbwata kumbe ni mambo niliyokuwa nayapata ni adimu.Ni manzi ambaye nilipanga kabisa nije nimuoea sema shida ilikuwa ipo kwa Wazazi wake hawakutaka nimuoea binti yao kwasababu nilikuwa mkristo nilikula beat sizamchezo kwa kaka yake na baba yake na wewe unajua vizuri waislamu hawanaga utani linapokuja kwenye dini unaweza kufanywa chochote so nikaona Bora niachane na huyo manzi ingawa yeye akupenda lakini sikuwa najinsi.
Ndio hivyo usijumlishe kwa ujumla kuwa Wanaume wote hata huwafanyie nini lazima tu awe na mchepuko hii sio kweli wapo Wanaume mpaka Leo hawajawahi kuwa na wapenzi achilia tu kufanya mapenzi mfano mimi nina marafiki zangu wawili wa namna hiyoSasa si ndio mpaka hao wapenzi wapendane kweli na waamue kwa dhati ya mioyo yao kutulia. Ila kwa wengi ni mabalaa tu na vile mapenzi ya kipindi hiki ni full kuviziana basi tabu tupu.
Vitu alivyokuwa ananifanyia huyo manzi nilibwata tosha ngoja nikuulize ni mwanamke gani wa sasa hivi Unaweza kumpata akawa anakufulia nguo Tena bila hata kumwambia? Au akawa akusumbui hata pale unapomwitaji kwenye sex? Ni manzi yupi anaweza kuomba ruhusa kazini kwake kusudi akuhudumie wewe unapomwa Sana? Kea hivyo vitu kuna haja ya kupewa limbwata kweli?Ila ukilishwa limbwata hujui😅😅😅
Hakuna sehemu nimesema wanaume wote , ila wengi wapo hivyo.Ndio hivyo usijumlishe kwa ujumla kuwa Wanaume wote hata huwafanyie nini lazima tu awe na mchepuko hii sio kweli wapo Wanaume mpaka Leo hawajawahi kuwa na wapenzi achilia tu kufanya mapenzi mfano mimi nina marafiki zangu wawili wa namna hiyo
Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi
Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke
Ndio maana namwambia Kelsea kuna vitu wanaume wanavikosa kwa wanawake wengi wasasa hiv ndio maana wanakimbilia michepuko lakini mwanaume yoyote akitreatiwa vizuri Sana na mwanamke hawezi kuangaika na wanawake wengine kabisaUkipata demu wa hv,, nje uende kuhangaika kufanya nn
Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao. [emoji1545]