Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Sasa si ndio mpaka hao wapenzi wapendane kweli na waamue kwa dhati ya mioyo yao kutulia. Ila kwa wengi ni mabalaa tu na vile mapenzi ya kipindi hiki ni full kuviziana basi tabu tupu.
Hii ni Kwa gender zote unapo lala Mika kuwa wanaume wana chepuka kwani hao wanaume Huwa wana chepuka na wanaume wenzao !?
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Hii ni Kwa gender zote unapo lala Mika kuwa wanaume wana chepuka kwani hao wanaume Huwa wana chepuka na wanaume wenzao !?
Nimejibu kutokana na mada ilivyo, kuchepuka hakuna jinsia.
 
Icho ulicho kiongea hakiwezekani hata kwa wazungu wenyewe leo hii kwao ndipo wanaongoza kuachana, ndoa zimekuwa kama biashara mikataba nayo inahusika kwa kifupi kwao maana ya misingi ya ndoa iliyoweka na Mungu wameifuta. Wanawapa tabu watoto,wanakuwa namalezi sio mazuri,wenyewe waka pimp na kuita Co-parenting upuuzi mtupu.

Wapo wanawake waliosoma wanaojua nini maana ya ndoa, nini maana ya familia na nini maana ya mume na nafasi yake kama mke.Japo malimbukeni walio zuzuliwa na elimu plus 50/50 ndio wengi.
 
Umeongea Busara sana,,,,,Yote haya yanajadiliwa hapa ni Excuse za kinadada kutoheshimu Waume zao....

Na kuna vijana wa kiume aina ya mleta uzi wanaona KUTOHESHIMIWA ni sawa kabisa.... as long as wanasaidiwa Majukumu.
Ulemavu unaokua kwa kasi kuliko hata ukosefu wa nguvu za kiume A.K.A "MARIOO"
 
Amesahau "pesa ya Ke yeyote imefungiwa sabufa" [emoji3]
 
Niko hapa nilimfanyia yote hayo tena na zaidi ila bado tuliachana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii namba moja saikolojia yao inagoma,wanaume mademocratic wengi wanateswa na wanawake wao,labda tu upate mwanamke matured na sio hawa wanaoshinda kwenye tamthilia.

Dharau ni inborn character,mtu anaiga kwa mama yake anachomfanyia baba yake brain zao zinacopy na kuzipaste kwenye ndoa.

Wanawake wengi wapumbavu uchukua ustaarabu,uungwana,upole wa mume ni uboya so uvuka mipaka na kutaka kuwaburuza waume zao.

Wanaume madikteta,wababe ndio zao udumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…