Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi.

mfano:
1. Mwanamke msomi mwenye kazi hatakuheshimu. Hapa itategemea unaishi naye kwa namna gani. Wanawake wa sasa sio wa Miaka ya 90 awe ana kazi asiwe na kazi hawataki kuburuzwa. hapa ni mwanaume kujua kuwa mtemi imeshapitwa na wakati ....ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.

2. Ukirudi kutoka kazini haupokelewi vizuri. What for? hili nalo na kulilia! ingia ndani salimiana ndani kwa ndani sio lazima mwanamke akukimbilie kama mbwa. Amechoka kumbuka naye Ametoka kazini.

3. Hatapata muda wa kuwatunza watoto na kuijali Familia. Wanaume tuwe wakweli kwenye hili. Ni nani anataka mwanae wa kike akawe mama wa nyumbani? be honest... Nataka mwanangu wa kike awe mtu kwenye watu..sio Mwanamke wa kukimbilia mijanaume iktoka kazini.

Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao.

4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana.

Kwa ufupi nasema Dunia imebadilika na tuwe wakweli kulikubali hili na litatusaidia namna ya kuishi na mwanamke wa sasa.[/b]
 
4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana[emoji1541][emoji1541]

POINT muhimu sana hiyo na wengi wanashindwa hapa.. Asante mkongwe Daby kwa mawaidha mazuri.. Kweli utu uzima dawa[emoji1545]
 
4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana[emoji1541][emoji1541]
POINT muhimu sana hiyo na wengi wanashindwa hapa.. Asante mkongwe Daby kwa mawaidha mazuri.. Kweli utu uzima dawa[emoji1545]
Asante kwa kulihighlight hili....
 
Kuna familia moja naiona yani ety mkewe akiondoka atakusanya nguoo chafu mpka mkewe arud......akitoka kazni kila kitu anfnyiwa na mkewe had maji ya kunywa anatengewaa...mpaka nahis kuolewa utumwa
 
Asante kwa kulihighlight hili....
Screenshot_20220704-115931.jpg
 
Back
Top Bottom