Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Wanaume wenzangu naomba mumsamehe mtoa mada. Bandiko limeandikwa kwa lengo la kuwin attention kwa hawa akina dada wa JF wamwagike PM awale kimasihara. Wenyewe nadhani mnashuhudia wanavyomwagika ktk huu uzi. Tumuache kijana wetu pengine hajala ile kitu mda mrefu, soon ataleta kisa cha kumla tunda kimasihara mdada wa JF baada ya kufuatwa PM alivyoanzisha uzi wa kutetea 50/50! Yajayo yanafurahisha [emoji2].

Practically hakuna ndoa inayoweza kudumu kati ya mke asiyemuheshimu mume kwa kuendekeza democracy. Hiyo ni dunia nzima, iwe kwa wazungu au kwetu sisi waafrica. Kuna social norms zipo naturally Mungu aliziweka hazibadilishwi na nyakati wala uchumi wa watu husika moja wapo ndio hiyo wajibu wa mwanamke na mwanaume ktk ndoa. Hapo mambo ya haki sawa hayapo na ndio maana mwanamke ANAOLEWA na mwanaume ANAOA.

Basi na itoshe tu kusema maoni yoyote kinyume na hapo ni batili. Asanteni [emoji120]
Umelisema katika namna bora zaidi mkuu, mtoa mada analengo mahususi kuwanasa mafeninist wa jf na kwa jinsi hawana utashi naamini pasina shaka PM ya jamaa inafurika kwa wakati huu, wasijue wanaelekea machinjioni.

Men are very smart. Mtoa mada hapa katumia ile kanuni ya JKKU - (Jifanye Kuwasifiaa na Kuwatejea Uwale)
 
Nnachokiona mtoa mada Ni type zile za Wanaume wanaoogopa majukumu,

Ni mwanaume yule anayeimezea sana mate Ela ya MKE wake, anaamini kwa namna moja ama nyingine inasaidia kwenye bajeti zake.

Ni mwanaume yule anayeamini anaoa ili kupunguza makali ya maisha,

Mwanaume wa Hivi,
Kila mara atagombana na MKE wake kwa kutaka kupata hesabu ya mapato yake, maana ameoa akiwa na MAHESABU tayar.
Ngoja nikuambie mkuu unajua hii elimu ya kusoma na kujua kingereza ndo tatizo yaani mtu anajiona kasoma baada ya kujua kingereza na kufuata mila za kizungu

Kumbe mjinga mtupu mtu anashindwa kujua nafasi yake kama mwanaume ni tatizo ipo siku atakuja kumbebea mkewe mimba mambo ya haki sawa
 
Nmesikitika Sana,
Eti mshana nae Ni miongon mwao
Yani na uchawi woooote kumbe jamaa ni simp aiseee. Au kwasababu kwenye mauchawi anakutana sana na wanawake wameugeuza moyo wake kama Sulemani alivyogeuzwa moyo na wanawake wa mataifa.

Eti Mshana Jr what went wrong bru ukaamua kua feminist wa kiume ?!, am curious sikutegemea jabali kama wewe kua simp.
 
Kaandika pumba tupu,
Hivi mwanaume unapata wapi guts za kusema heshima kwako sio chochote, kinachojali na pesa iingie mfukoni?

Ndo Hawa wanafulishwa chupi na mikojo kwa kisingizio Cha mke kaenda kutafuta pesa.

Na linakaa kibarazani na bukta linachekelea kabisa meno 32 yote nje, MKE kaleta mboga na unga nyumbani[emoji34]
Mkuu umepiga umepiga mkwaju huku goalkeeper kavaa miwani nyeusi tiii. Sitegemei jamaa kujibu.
 
Huyo alosema Mwanamke Msomi blah blah blah ndio madhara ya Mfumo Dume Duniani,
Kwanini Mwanamke asifanye kazi au biashara mie nakua nawaona Mama zangu wanafanya biashara na walitulea na wao wanasema Mama zao hali kadhalika kumbuka hayo ni mambo ya miaka kenda,

Tukirudi kwenye suala la kumpokea Mume, why not Mume wangu karudi nyumbani kwanini nisimpokee kwa bashasha zote sio nimkimbilie lakini lazima ni muhug anipe kiss ya kwenye paji la uso na mie nampa pole kwa kazi, kwanini nisimpelekee Mume wangu Maji ya kunywa au Juice ya Matunda, kwanini nisimuogeshe Mume wangu, kwanini nisimfanyie massage Mume wangu, nisipomuenzi Mume wangu nani atamuenzi? Me mwenyewe napenda ninavyodekezwa kwanini nisimdekeze na yeye,
Kama hamna Mapendo kila kitu utaona kwako ni kero na utumwa,

Na hiyo Sex sio kila siku kila muda, Sex sharti nyote muwe tayari hapo tendo mtalifurahia, sio kisa umeoa basi muda wowote unataka tu, lazima muendane na moods ile ni starehe sio adhabu,
Anayesema Mwanaume anaoa ili apewe Sex bila kupangiwa huyo ni wa kuhurumiwa sana, hajapata somo la Ndoa hata kidogo,

Mapenzi ya Ndoa ni Kupendana, Kuheshimiana, Kudekezana, Kuvumiliana, Kuhurumiana na zaidi Kusaidiana.
Madam, wewe ni mwanake mwenye busara sana amebahatika mwanaume alie kuoa na mmebaki wachache juu ya uso wa dunia.

Japo hapo kwenye sex usichukulie kama adhabu mama angu, wanaume tunapenda sex binafsi mda wote niko na mood. Wanaume sex kwetu ni basic need kama wewe unavyohitaji maji ya kunywa.
 
Na mwanamme mwenye akili abe e hii point. Very true yaani mie ukinipea mbususu na ukatulia zako ndani unanipikia wali nazi ndizi nazi na kuniosha mbupuz nitoke nje kufuata nini.

Kuna wakati nilipataga single maza wa kikuyu, hatarii kwa mara ya kwanza nilikaa kwa relationship bila kugegeda nje for seven months. Yaani yule mwanamke mapaka nikampaga zawadi ya laki nne...imagine.
[emoji23][emoji3][emoji3]
 
Kabisa,
Marioo Yuko radhi atukanwe na adharirishwe utu wake kisa vijihela vya mwanamke.

Tukisema Sikuhizi tuna wanaume wanajiuza, wengine wanasema tunatukana Sana.

Mwanaume kuitegemea Ela ya mwanamke Ni ukahaba mamboleo, Ni unyonyaji damu.

Mwanamke hakuumbwa kutoa,
Bali kupokea. Na akishapokea hujenga heshima kwa mtoaji (mwanaume).

Hawa Vijana wanaojiita wa kileo, Ni bure kabisa[emoji3525]

"Mwanaume kuitegemea Ela ya mwanamke Ni ukahaba mamboleo"

Mkuu naomba nitumie maneno yako haya kama kichwa cha habari cha thread nyingine
 
Hata Kajala wa Harmonize nae ana ndoto yake anataka kuifanikisha na atakayelia mwishowe ni Kajala Maana Harmonize Hana shida hata pesa ikiisha
Mwenye uhitaji mkubwa hapo ni harmonize si kajala naona umeongea vice versa harmonize alimuhitaji Sana umaarufu wa kajala kwasababu ya vitu viwili ili apate kiki atrend mjini na mapenzi wakati kajala kaangalia ATM pale ndio kirichomfanya akubali kumrudia harmonize bila kujali harmonize alimbandua au alitaka kumgonga mwanaye Paula so hapo wakiachana atayeathirika ni harmonize si kajala kwasababu harmonize atakuwa kashachunwa vyakutosha lakini pia hatapata kiki au trending kama kipindi yupo na kajala
 
Mie hata Sijaelewaa!! Km ndio hivi nirudi Kuwa Single Tu..
 
Mama yako aliolewa?
Hapa ndipo mnapokosea. Yeye na wewe, mama'ake wa nini sasa?

Dunia inawafundisha wakike kuwa wakiume na wakiume kuwa wakike.

"Nenda kajitambulishe kwetu", "umenitolea mahari?", "umeolewa?", "sio jukumu langu, mwanaume ni nani?", "pesa ya mwanamke.....", n.k

Endeleeni na hivyo vikao
 
Huyo alosema Mwanamke Msomi blah blah blah ndio madhara ya Mfumo Dume Duniani,
Kwanini Mwanamke asifanye kazi au biashara mie nakua nawaona Mama zangu wanafanya biashara na walitulea na wao wanasema Mama zao hali kadhalika kumbuka hayo ni mambo ya miaka kenda,

Tukirudi kwenye suala la kumpokea Mume, why not Mume wangu karudi nyumbani kwanini nisimpokee kwa bashasha zote sio nimkimbilie lakini lazima ni muhug anipe kiss ya kwenye paji la uso na mie nampa pole kwa kazi, kwanini nisimpelekee Mume wangu Maji ya kunywa au Juice ya Matunda, kwanini nisimuogeshe Mume wangu, kwanini nisimfanyie massage Mume wangu, nisipomuenzi Mume wangu nani atamuenzi? Me mwenyewe napenda ninavyodekezwa kwanini nisimdekeze na yeye,
Kama hamna Mapendo kila kitu utaona kwako ni kero na utumwa,

Na hiyo Sex sio kila siku kila muda, Sex sharti nyote muwe tayari hapo tendo mtalifurahia, sio kisa umeoa basi muda wowote unataka tu, lazima muendane na moods ile ni starehe sio adhabu,
Anayesema Mwanaume anaoa ili apewe Sex bila kupangiwa huyo ni wa kuhurumiwa sana, hajapata somo la Ndoa hata kidogo,

Mapenzi ya Ndoa ni Kupendana, Kuheshimiana, Kudekezana, Kuvumiliana, Kuhurumiana na zaidi Kusaidiana.
Wewe ndio mwanamke halisi sasa umeupiga mwingi sana eti Mwanamke kumuwekea Mume wake ni utumwa mtoa mada ni ovyo Sana dada ukiendelea na principle yako hii utapata Mume wakukuoa achana na hawa wanaharakati uchwara wanafanya wanawake wengi wasiwe na heshima na waume zao
 
Mbora wenu ni yule aliye mwema kwa familia yake, Kila mmoja ana haki juu ya mwenzake! Majukumu mengineyo yasipelekee kukapatikana kudharauliana. Na la muhimu ni kuvumiliana kwani kila mtu na mapungufu yake.
 
Back
Top Bottom