The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Umelisema katika namna bora zaidi mkuu, mtoa mada analengo mahususi kuwanasa mafeninist wa jf na kwa jinsi hawana utashi naamini pasina shaka PM ya jamaa inafurika kwa wakati huu, wasijue wanaelekea machinjioni.Wanaume wenzangu naomba mumsamehe mtoa mada. Bandiko limeandikwa kwa lengo la kuwin attention kwa hawa akina dada wa JF wamwagike PM awale kimasihara. Wenyewe nadhani mnashuhudia wanavyomwagika ktk huu uzi. Tumuache kijana wetu pengine hajala ile kitu mda mrefu, soon ataleta kisa cha kumla tunda kimasihara mdada wa JF baada ya kufuatwa PM alivyoanzisha uzi wa kutetea 50/50! Yajayo yanafurahisha [emoji2].
Practically hakuna ndoa inayoweza kudumu kati ya mke asiyemuheshimu mume kwa kuendekeza democracy. Hiyo ni dunia nzima, iwe kwa wazungu au kwetu sisi waafrica. Kuna social norms zipo naturally Mungu aliziweka hazibadilishwi na nyakati wala uchumi wa watu husika moja wapo ndio hiyo wajibu wa mwanamke na mwanaume ktk ndoa. Hapo mambo ya haki sawa hayapo na ndio maana mwanamke ANAOLEWA na mwanaume ANAOA.
Basi na itoshe tu kusema maoni yoyote kinyume na hapo ni batili. Asanteni [emoji120]
Men are very smart. Mtoa mada hapa katumia ile kanuni ya JKKU - (Jifanye Kuwasifiaa na Kuwatejea Uwale)