Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

Mbona tangazo lako linajicontradict? Unapiga show ya kufa mtu halafu anataka tena kesho yake 😀 😀 😀
 
Mtafutie shamba boy atulie
 
Dogo una bahati sana, wengi wanalialia humu kunyimwa k, wewe unapewa na kusaza.
Sasa ukiona siku hiyo kalala fofofo bila show ndo utajua hujui.
 
Usipomkojoza jitahidi kumpinduapindua angalau achoke.

Wanawake kwenye nyege zao hawajali hali yako wewe hata kama unakata roho atataka umfanye tu.
 
Umejitahidi kutunga hii hadithi ni nzuri na inasisimua sana ila mwisho hujamalizia vizuri ili tujue ana mimba huyo anaependa mambo matamu kila siku? kama anayo hoja zetu zitakuwa tofauti iwapo atakuwa si mjamzito.
lakini katika yote hayo tupo duniani kutoshelezana kupenda mambo hayo kisukumbue ni sehemu ya maisha. Maadam nguvu na uwezo unao unalalamika nini sasa.
 
Hoja za vijana waliobalehe juzi taabu kwelikweli. Hii uliyoitoa ni imagination tu ya kuchangamsha kijiwe.
 
Ni phase hiyo itapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…