Afadhali umeliona hili. Anatutungia story zinazotokana na ndoto zake nyevu.Nyuzi za wavulana zina utoto mwingi sana
Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?
Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda. Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa. Sasa changamoto anataka kila...www.jamiiforums.com
Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake
Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasababu ya hasira na jaziba zinazo mshinda kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua huu ni ugonjwa. Je, huu ugonjwa unatibiwa? Je, wenye uzoefu na matukio kama haya naomba ushauri...www.jamiiforums.com
Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?
Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?www.jamiiforums.com
Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!
Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi benki. Mshahara laki 6, sijakaa miezi miwili, ananiambia kuwa ananunua gari, nikawaza kwamba maisha gani...www.jamiiforums.com