Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Bikra ni heshima kwa mwanamke! Kataa , kubali, lia jutia, tukana HUO NDIO UKWELIMaana yake ndio hiyo, ndio maana mimi wakianza na story zao za ubikira huwa nawauliza what about men? Wanaanza kuniletea mistari ya biblia ambayo nayo imeandikwa na wanaume wa kale 😀
Nakubali, silii wala kujutia.Bikra ni heshima kwa mwanamke! Kataa , kubali, lia jutia, tukana HUO NDIO UKWELI
That is absolutelly pure depressionInawezekana kabisa. Mbona mie ni 42 na nina watoto wanne na bado ni bikira.
Dipresheni hebu tulia!That is absolutelly pure depression
Sasa nisiseme ukweliDipresheni hebu tulia!
Kumbe ukweli unaujua ndio uache kutetea ujinga!Nakubali, silii wala kujutia.
Ila Sema ni heshina kwa mwanamke anayeolewa.. kama ni heshima tu basi ni wanawake wote tuna heshima kwasababu sote tumewahi kuwa bikra .
alikuwa n wale mabinti wenye misimamo mikali lakn naona mwishon akalegeaHukumuuliza kwann hakumtunuku mtu miaka yote iyo?
hahaha yashapita alafu bikra sio kitu kiviile sema anakuwa hawez kukukatalia ukimtaka....hatukuachana kiubaya n tofaut za kidinHongera mkuu, Natamani kua wewe 😋
HA!HA!HA..hahaha yashapita alafu bikra sio kitu kiviile sema anakuwa hawez kukukatalia ukimtaka....hatukuachana kiubaya n tofaut za kidin
😀😀😀 mambo ya kuviziana hayo, atakaepiga mayowe ujue kazidiwa ujanjaYeye alitoa rushwa ya bikra ili afanyiwe jambo fulani ika shindikana nae ni mhalifu tu ,mtoa rushwa.
Hapo kwenye povu, lia, jutia, tukana ndio kwenye tatizo hasa…Kumbe ukweli unaujua ndio uache kutetea ujinga!
Narudi povu ruksa lia, jutia tukana NI WEWE TU
Anasema yeye ni bikra kutokea wapi? Mixx by Yas au mtandao wa Mpesa ule?Habarini Wakuu
Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo.
Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii.
Maswali ni mengi nikaona niulize jukwaani inawesekanaje kwa umri huo?
Kuna kitu hakipo sawa mentally?
Mantiki ya kuutunza huo ubikira ni ipi?
Kwa wanaume Ushakutana na bikira umri huo/kwa mwanamke ushawah kutunza bikira yako mpaka umri huo?
Inawezekanaje?
Na huwezi kumsahau hata ukiolewa na simpHapo kwenye povu, lia, jutia, tukana ndio kwenye tatizo hasa…
What for?
Duh sasa kwani kufanya ngono ni lazima? lile ni tendo la hiyari.Habarini Wakuu
Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo.
Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii.
Maswali ni mengi nikaona niulize jukwaani inawesekanaje kwa umri huo?
Kuna kitu hakipo sawa mentally?
Mantiki ya kuutunza huo ubikira ni ipi?
Kwa wanaume Ushakutana na bikira umri huo/kwa mwanamke ushawah kutunza bikira yako mpaka umri huo?
Inawezekanaje?
Nani huyo?Na huwezi kumsahau hata ukiolewa na simp
Fake newsHabarini Wakuu