Overrated hana huo U-CIA, kaona watanganyika wamelala basi anajichukulia rasilimali tuNa hicho Tu Polepole alikuwa anataka....zile siri za kiapo zitamwagwa nje mchana kweupe kwa kisingizio cha kumjibu Rostam..
Rostam shtuka umetegwa, eti CIA agent, agent gani huwezi kuthibiti hasira na mihemko?
Pengine pole pole muongo kweli lkn na huyu nae aaaaaaaa.Dawa akisha jibu amfungulie mashtaka haraka sana ili ushahidi wa polepole ajenao mahakamani huku tupumzike na mbwembwe za chakubanga naimani hapo tutajuwa nanianamtuma huyu msaulifu .
Hizo alizo zitoa hadi muda huu.Polepole ana hoja gani!?
Hakuna hoja humo bali virojaHizo alizo zitoa hadi muda huu.
Alitapeli lini,hebu elezea,kuchukia matajiri hakuondoi shida zakoTapeli la rasilimali za watanganyika, usisahau pia
Rahisi sana kucheza na viongozi w kiafrika...ukisha sijuwa akili zaoOverrated hana huo U-CIA, kaona watanganyika wamelala basi anajichukulia rasilimali tu
We mbona hujacheza nao?Rahisi sana kucheza na viongozi w kiafrika...ukisha sijuwa akili zao
Kuwamudu rahisi
Ova
Kuibiwa rasimali za Taifa, inachangia ugumu wa kupatikana huduma muhimu kwa wananchi inafikia hadi serikali inazuia maiti.Alitapeli lini,hebu elezea,kuchukia matajiri hakuondoi shida zako
😂😂😂😂😂Si alimjibu akiwa kasimama barabarani, sasa imekuaje tena, kina kirefu zaidi ?
Anajua kupiga madili tu.Nikipata mda nitamsikiliza ila huwa hajui kujenga hoja
Haya sasa RA naye anataka kujibu mapigo; na Ezekiel naye leo anataka kumjibu sloslo. Hizi ni ligi za kututoa kwenye reli. Mjadala ni mpana kuliko gesi.View attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Basi ww uko kwenye Heat period ready to conceive a pregnancy that's why unasubiri saa tatu ugongweMbona unalala mapema sana mkuu, una ujauzito?
Mahojiano haya yanaanza saa 3:00 usiku, wewe unasema utakuwa umelala.