Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

Nafikiri ndio wanamtandao wanatangaza rasmi kuvunja mtandao wao!Ama mawazo yangu tenge Jo?
 
Leo tarehe 2 .9.2025 saa tatu usiku kupitia UTV ya azam mfanyabiashara na mbunge wa zamani Rostan Aziz atazungumza na taifa

Hapa anakuja kushusha nondo za kukaanga Polepole alie udanganya umma .

USSR
Jela inamhusu ni swala la muda tu. muhuni huyu
 

Asiache kuongelea ilikuwaje Magufuli kwenye kiwanda chake Morogoro:

Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!
 
Hata akinunua yaani asijaribu kulitaja6jina kina la Polepole atakuja kukazwa na spana za moto mpaka presha
Ndio maana nimesema moto hauzimwi na petrol ila Rostam anataka kufanya hivyo mkuu
 
Anapoteza muda tu,, mpaka hapa tulipo alichofanya Polepole ni kutupa tu vielelezo vipya vya ishu zake haram,,, ila siku nyingi tu anafahamika ni mpiga dili, na watu kama yeye wapo dunia nzima na serikali zote..
Kwahiyo hakuna mtu yeyote atayembadilisha fikra,, ila ile misukule yake ndo atazidi kuilisha bwimbi..
 
Leo tarehe 2 .9.2025 saa tatu usiku kupitia UTV ya azam mfanyabiashara na mbunge wa zamani Rostan Aziz atazungumza na taifa

Hapa anakuja kushusha nondo za kukaanga Polepole alie udanganya umma .

USSR


Pia wampe airtime na pole pole tumsikie anasema kitu gani

Sio tusikilize upande mmoja tu
 
Kwa kifupi amechelewa au amewahi kusafisha hali ya hewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…