Kuna watu kuua kwa contact ndiyo full time job(professional assassins) binadamu tumetofautiana sana.Hiii Dunia hii..MUNGU atusaidie unaua mwanadamu mwenzio kama nyoka
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ngoja ajisahau ....naona hii ni vita kubwa ya visasi.Yule mama wa Aka ile don my son I love you alivotamka kihasira duhhh.. sura na matamshi vinaenda tofauti
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Too sad for sure roho za kishetani kabisa hizooo....ila karma is realKuna watu kuua kwa contact ndiyo full time job(professional assassins) binadamu tumetofautiana sana.
You hv something very special.Kuna watu ukiwatazama tu usoni wanaonekana hulka yao kwa kuwatizama kwenye macho tu, huyu AKA alionekana km muhuni, tozi, bandidu, kiburi na mwenye majivuno, kuuawa kwa kupigwa risasi ilikuwa inajionyesha kabisa usoni mwake kwa watu wenye kipaji cha kuona hicho walikiona ndo maana imekuwa kama utabiri kutimia
Mwingine ni yule mama wa kinigeria aliyeimba ekwueme, ule wimbo na sauti yake ukisikia ni km ina majonzi kwa aliyokuwa akipitia wakati ule, mara ya kwanza mi kuusikia nilihisi kitu km hicho na kuna kitu kilinambia atakufa kwa kipigo cha mumewe ila nilipuuzia kwa kudhani nimetekwa na hisia za wimbo tu,, kilichotokea sasa,,,,
Ni hadithi tu....karma ingekuwa real wazungu walio dhulumu babu zetu wangekuwa wanalipia saa hii. Ndio kwaanza wapo mbali kiuchumiKarma is real mkuu, believe it.
Kabisa kabisa lkn kwanza muondoe fisiemu madarakaniHiyo nchi Watz tukijikaza tutaipita
The difference won't save any purpose. Wote wamefukiwa vumbini.AKA amefariki, rafiki ndiye amekufa. Ndio maana taarifa kwa kiasi kikubwa zinamtaja AKA wengine hao ni vidampa hawana thamani.
Hii imenikumbusha ajali iliyomchukua cool james dandu, yule jamaa aliyegongana naye hakuwa anatajwa
The last mealAlivyo fala, ameenda kufanyia birthday mji ambao ana maadui lukuki... Tena akawa anayoa live location kabisa..
View attachment 2513331
View attachment 2513333
Ndoto za mchana hizi.Kabisa kabisa lkn kwanza muondoe fisiemu madarakani
Nilikua nadhani huyu marehemu AKA ni mixed colour lakini baada ya kuangalia mazishi yake na kuiona familia yake i.e baba na mama yake na ndugu zake wengine waliokuwepo pale, nimegundua hawa jamaa watakua na asili ya Mauritius au Madagascar. Inawezewekana wazazi wake asili yao walitokea huko.
Nimefuatilia pia mahojiano yake baada ya fiancee wake kufariki, nimehisi huyu jamaa hakumrusha yule mpenzi wake, ila yule binti Nelle baada ya ugomvi wao ule alikimbia kipigo ndio kujirusha vile maana jamaa alikiri kuwa anatumia drugs.
Somo hapa ni kua kwenye mapenzi/ndoa ni vizuri mkishindwana mnaachana kwa usalama kila mmoja anashika 50 zake, mkijifanya eti mnapendana mwisho wake uwa sio mzuri hawa ilivyotokea.
KATAA NDOA SIO SULUHISHO PIA....RIP
Sasa ma hitman huko si watu waliyopinda na maisha,they don't careDaah noumer, ila kuua mtu na pistol kwa ukaribu vile lazima uwe umepiga msuba aka mjani aka ganja aka bangi..hamna mbongo mwenye roho ngumu kama wasouth angemfanyizia mwigulu - jamaa simpendi yule kwa madharau yake.
Endelea kujifariji..! SishangaiHaya mambo ndiyo yalifanyaga nikaahirisha kwenda Marekani, zero security, muda wowote unakula shaba...
Ni bora utulie bongo na ki take home chako cha 700k, kuliko kwenda kuishi kwa stress nchi za watu.