Kuna watu ukiwatazama tu usoni wanaonekana hulka yao kwa kuwatizama kwenye macho tu, huyu AKA alionekana km muhuni, tozi, bandidu, kiburi na mwenye majivuno, kuuawa kwa kupigwa risasi ilikuwa inajionyesha kabisa usoni mwake kwa watu wenye kipaji cha kuona hicho walikiona ndo maana imekuwa kama utabiri kutimia
Mwingine ni yule mama wa kinigeria aliyeimba ekwueme, ule wimbo na sauti yake ukisikia ni km ina majonzi kwa aliyokuwa akipitia wakati ule, mara ya kwanza mi kuusikia nilihisi kitu km hicho na kuna kitu kilinambia atakufa kwa kipigo cha mumewe ila nilipuuzia kwa kudhani nimetekwa na hisia za wimbo tu,, kilichotokea sasa,,,,