DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,256
- 4,647
"Eti nakuombea mizimu ikupokee" yani unamaanisha dada wa watu aende kuzimu, shindwaa kwa Jina la YESU
Mizimu ni babu zetu waliotutangulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Eti nakuombea mizimu ikupokee" yani unamaanisha dada wa watu aende kuzimu, shindwaa kwa Jina la YESU
Mizimu yenu ndio inakaa mapokezi mkuu???
Acheni usanii kenge nyie
Mbona hamtabiri vifo vyenu
Kumbe dereva wa lorry la mchanga ndo alisababisha daah hawa jamaa sio kabisa nakumbuka pale Banana kuna siku natoka Gomz na kagali kangu Lorry la takataka likapanda mpaka mpaka kale kakuta cha kituo cha banana nikaona isiwe tabu nikaitoa gari nje ya lami [emoji38][emoji38] alafu kagari kako chini sasa. Hawa jamaa sio madereva kabisa nabangi ndo tatizo au siowazoefuWengi wanakuwa ni wavuta bangi na madei waka alafu huwa wanahisi dunia imewaacha nyuma sana so barabarani wanakuwa na papara kujaribu Ku compensate!
Mjini ni wapi?Ungemjuaje Sasa na mjini umekuja majuzi!?
Kwa mujibu wa sheria kulipa mahari ni ndoa ya kitamaduni na inatambulika...Nasikia Kuna mgogoro huko kwamba Maunda Msiba uwe kwao au Huyo Mzazi Mwenzake.
.
Mzee Zoro anadai Kwamba Msiba hauwezi kuwa pale kwake Tuangoma kwakua Mzazi mwenzie na Maunda alilipa mahari lkn hakuoa.
Sheria Ipi na kifungu kipi Cha sheria?Kwa mujibu wa sheria kulipa mahari ni ndoa ya kitamaduni na inatambulika...
Mzee anataka pesa huyu..
Ulipaji wa mahari si jambo la lazima katika kuthibitisha ndoa.Kwa mujibu wa sheria kulipa mahari ni ndoa ya kitamaduni na inatambulika...
Mzee anataka pesa huyu..
Kuna sehemu nimesema mahari ni kithibitisho cha ndoa mkuu.???Ulipaji wa mahari si jambo la lazima katika kuthibitisha ndoa.
Mimi sio mwanasheria ,mtafute mwanasheria akusaidie, sio kazi yangu kukariri vifungu vya sheria ila ninatambua uwepo wa sheria hiyo..Sheria Ipi na kifungu kipi Cha sheria?
Cite hyo sheria na kifungu husika MkuuKuna sehemu nimesema mahari ni kithibitisho cha ndoa mkuu.???
Nimesema sheria za Tanzania zinatambua ulipaji mahari ni 'ndoa ya kitamaduni' ..
Na hakuwa na sababu yakuendesha gari usiku ilihalialitoka msibaniMnaaza kulaumu malori wakati marehemu inasemekana alikuwa kalewa
Sasa usikisemee Kitu ambacho huwezi kuproove otherwise unaongea kuchangamsha gengeMimi sio mwanasheria ,mtafute mwanasheria akusaidie, sio kazi yangu kukariri vifungu vya sheria ila ninatambua uwepo wa sheria hiyo..
AiseeInasemekana Marehemu alikua kanywa na yeye ndiyo alihama njia kwenda kugonga Lori.
Tuwapunguzie lawama wasio na makosa
😃🥒kumaAmayO
Miti ipi? Sijaelewa...naomba ufafanuzi plz. RIP MaundaDaaaaah Maunda Umetuacha....
Lakini kule Kijijini kwetu WANASEMA KILICHOMUUA NI HIYO MITI inayoonekana kwa Picha ya nyumbani kwake. Anyway kila mtu ana imani yake tuyaache hayo na dada yetu apumzike kwa Amani!