TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

Nasikia Kuna mgogoro huko kwamba Maunda Msiba uwe kwao au Huyo Mzazi Mwenzake.
.
Mzee Zoro anadai Kwamba Msiba hauwezi kuwa pale kwake Tuangoma kwakua Mzazi mwenzie na Maunda alilipa mahari lkn hakuoa.
 
Wengi wanakuwa ni wavuta bangi na madei waka alafu huwa wanahisi dunia imewaacha nyuma sana so barabarani wanakuwa na papara kujaribu Ku compensate!
Kumbe dereva wa lorry la mchanga ndo alisababisha daah hawa jamaa sio kabisa nakumbuka pale Banana kuna siku natoka Gomz na kagali kangu Lorry la takataka likapanda mpaka mpaka kale kakuta cha kituo cha banana nikaona isiwe tabu nikaitoa gari nje ya lami [emoji38][emoji38] alafu kagari kako chini sasa. Hawa jamaa sio madereva kabisa nabangi ndo tatizo au siowazoefu
 
Ulipaji wa mahari si jambo la lazima katika kuthibitisha ndoa.
Kuna sehemu nimesema mahari ni kithibitisho cha ndoa mkuu.???

Nimesema sheria za Tanzania zinatambua ulipaji mahari ni 'ndoa ya kitamaduni' ..
 
Mimi sio mwanasheria ,mtafute mwanasheria akusaidie, sio kazi yangu kukariri vifungu vya sheria ila ninatambua uwepo wa sheria hiyo..
Sasa usikisemee Kitu ambacho huwezi kuproove otherwise unaongea kuchangamsha genge
 
Daaaaah Maunda Umetuacha....
Lakini kule Kijijini kwetu WANASEMA KILICHOMUUA NI HIYO MITI inayoonekana kwa Picha ya nyumbani kwake. Anyway kila mtu ana imani yake tuyaache hayo na dada yetu apumzike kwa Amani!
Miti ipi? Sijaelewa...naomba ufafanuzi plz. RIP Maunda
 
Back
Top Bottom