Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 862
- 1,549
Huo kumbe ni wake? Najuaga wa mzee zahir zorroApumzike kwa amani. Napenda sana wimbo wake wa baba paroko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo kumbe ni wake? Najuaga wa mzee zahir zorroApumzike kwa amani. Napenda sana wimbo wake wa baba paroko.
Looo kumbe jf tuko na wazee wetu humu,shikamoo mkuu.RIP classmate.
Jamaa nilisoma nae huyu shule moja na mzee Zahir Zoro, alipenda sana kuimba.
Duh! Apumzike kwa amani.
Apumzike kwa amani. Napenda sana wimbo wake wa baba paru
Loo ata mimi sikujua kama huu wimbo ni wake ndo najua leo ,ni wimbo maarifu sana.Huo kumbe ni wake? Najuaga wa mzee zahir zorro
Marhabaa, hapa jf ni mimi na mzee Mohamed Said ndio tumekula chumvi kweli kweli.Looo kumbe jf tuko na wazee wetu humu,shikamoo mkuu.
Wa makasy juniorHuo kumbe ni wake? Najuaga wa mzee zahir zorro
Sauti zinataka kufanana tu.Apumzike kwa amani mzee BKM King Kikii.Aangaziwe mwanga laini machoni na aipate kheri!Amina!🙏Huo kumbe ni wake? Najuaga wa mzee zahir zorro
Kwa nini alaaniwe bwana yule?Poleni.
Tumlaani bwana yule
Miziki yake inaishi syo ya hawa wavaa Helen puaniMwendo ameumaliza.. Legacy ameaicha apumzike kwa amani sasa
Hebu tupia humu hiyo ngoma ya Baba paroko tuone panapovuja.Apumzike kwa amani. Napenda sana wimbo wake wa baba paroko.
Hebu tupia humu hiyo ngoma ya Baba paroko tuone panapovuja.
Looh kweli .shikamoo baba.naona kuwepo jukwaa la wazeeMarhabaa, hapa jf ni mimi na mzee Mohamed Said ndio tumekula chumvi kweli kweli.
Ndio ndioNdo babake na Jesca Kikumbi mwenye kitambaa cheupe??
Cc Nifah