TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

Tukome kukimbia nchi zetu; angekuwa Congo angekunywa Mwarobaini au dawa nyingine za magamba ya miti
 
Kwa mujib wa haya maelezo kifo chake kina ukakasi kidogo, hauwezi kukihusianisha moja kwa moja na Corona.

Bado ntaendelea kuwa wa mwisho kuamini Corona itaua mwafrika. Tuendelee kuchukua tahadhari na kuzingatia tahadhari zote. Huu ugonjwa una athari kijamii, kiuchumi na kisiasa.
 
Congo DR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh..Huyu mwamba alipotea sana miaka ya hapa kati. Toka atoe vile vibao vyake hatari kama evelline, stop artezz ile 1990s alipotea mazima..kuna miaka ya 2000s nilimuona ila hakuwa yuleyule tena alikuwa ameongeza uzito kinyama.

Rip mwamba, msalimie Jean Ballon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo habari ni kwa mujibu wa kituo cha radio Jambo nchini Kenya [emoji1139] leo asubuhi
In God we Trust
 
Tuko pamoja ktk hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anafutaje wakati kuna chanzo? Source ya hii taarifa ni RADIO JAMBO YA KENYA leo hii asubuhi
@Mods, kama asemayo huyu mdau ni ya kweli, do the needful na kufuta huu upotoshaji....

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…