That's true mkuuHii kesi ni kama ya Wacko Jacko tu, ukitaka kutoka kwenye Game(Music industry) either kwa kuokoka au kuwa mcha Mungu Muslim, wakubwa wa Music Industry, mostly Jews, hawataki utoke hivi hivi lazima wakuharibie image yako hasa kama ulikua ni mtu mweusi. Behind the scene kuna figisufigisu amefanyiwa, ni kesi za kutengenezewa.
Hii kesi si kama ya Michael Jackson lakini? At the end akakutwa hana hatia...mimi siiamini hii kesiHata wewe ukikutwa kwenye simu yako una picha za uchi za watoto ni kosa kuna kijana nimesoma nae alikutwa anaangalia picha za uchi sijui alizitoa wapi kafungwa miaka 20 Tabora
Kelly hsingiziwi kitu ni kweli na anastahili ni mbakaji mkubwa mbwa yule
Duuh haya mkuu
Hili la kumuua nimeshtuka, nilidhani atajiua[emoji849][emoji848]
Mtu anakwambia "kuangalia images za uchi wa mtoto halafu hamfanyi kitu shida iko wapi" daaah! Ndio Jamii tunayoishi nayo hiyo, na hao ndio wanawafichia siri Wanaume zao Wabakaji na Walawiti baadae wanakuja kusema Binti wa miaka 15 alikua Malaya kapelekwa na Mzazi wake kwa R.kelly ili amnajisi wapewe pesa, [emoji119]Unajua hili la RK limeanza zamani sana nafikiri tulianza kujua 2007
Alikuwa anawalaghai wasichana wadogo na kuwapeleka kwenye locations tofauti tofauti na kuwa abuse
Kweli alikuwa na masharti yake akiyaita Rob’s Rules ukikiuka anabaka anawafanya anavyojua yeye na kuwaadhibu haswa
Wengi walikuwa ni Blacks na mostly underage girl and boys
Kuhusu picha za watoto wadogo wakiwa uchi
Hili linakera sana
Binadamu wengine huwa wanafanya na kupenda mambo ya ajabu sana kama jirani zetu wao wamevunja rekodi kwa kutembea na wanyama Na hata kuku
Hivi kweli kama kwa mfano unamkuta baba zima linamuangalia mtoto wa miaka mitatu uchi wake utafanya nini
Sasa hili halina tofauti na ku download picha za uchi za watoto wadogo tena infants
Kuna mda fulani walikamatwa hapa [emoji636] watu 2 mwanamke na mwanaume wakijifanya wauguzi toka hospitali wakifuatilia wanawake wenye watoto wachanga mpaka wajue wanaishi wapi
Halafu wanaenda ku visit wanajitambulisha kuwa wanapeleleza kama watoto wamekuwa abused
Wanaomba picha kama wakiwa wanaogeshwa au hata kuwaambia Kina mama wawavue nguo watoto ili waangalie majeraha
Lakini hawaishii hapo wanaomba kupiga na picha watoto wakiwa uchi eti zikachunguzwe kwa umakini kama kuna majeraha yaliyopona
Baada ya hapo wanaziuza kwenye mitandao na wapo washenzi kama hawa ndio wana download hizo picha
Ila hao wawili walikamatwa baada ya kushtukiwa wanachofanya
Kelly he’s guilty as sin na anastahili kifungo
Tena wanaweza kumuuwa jela just wait
Nilikuwa napenda sana nyimbo zake ila kwa aliyoyafanya ni mabaya sana na binadamu anaweza kufika mbali kwa fantasy
Thank you so much ngoja nimtafakari tena ...miss u too bestPole
Najua ulimoenda kwa nyimbo zake au kwa muonekano lakini alichofanya ubadili upendo sasa maana kafanya hayo na hawakumfanyia hiyana bali evidences na witnesses na victims wameeleza yote
Ingawa kuna wengine alimalizana nao kwa kuwaahidi kitita na michongo kwenye tasnia
Najua sisi ni marafiki wa mbali ila kwa hili najua hujakubaliana na mimi ila naheshimu maamuzi yako pia
Miss you
Weweee hebu niquoute mimi ndie niliyeongea hayo ili nikujibu huyo hausiki umenielewa?Mtu anakwambia "kuangalia images za uchi wa mtoto halafu hamfanyi kitu shida iko wapi" daaah! Ndio Jamii tunayoishi nayo hiyo, na hao ndio wanawafichia siri Wanaume zao Wabakaji na Walawiti baadae wanakuja kusema Binti wa miaka 15 alikua Malaya kapelekwa na Mzazi wake kwa R.kelly ili amnajisi wapewe pesa, [emoji119]
Kama Jamii hasa za Kiafrica tuna safari ndefu sana katika Malezi na Makuzi ya Watoto, Jamii ina ukatili mkubwa sana kwa Watoto,
Kongole kwa Mahakama kwa Kumfunga huyo pedophile, anayemuonea huruma sana amfate wafungwe wote wakalawitiane vizuri.
Kwanini usijibu hapo ulipo quote???Weweee hebu niquoute mimi ndie niliyeongea hayo ili nikujibu huyo hausiki umenielewa?
Unaanza mavijembe ya kishamba ili iweje? Fankuro Madonna!
Sheria za Us zingeletwa bongo na viongozi wakabadilishwa nakuambia wanaume robo tatu wangeenda jela wangebaki robo tu ndio watakatifuMtu anakwambia "kuangalia images za uchi wa mtoto halafu hamfanyi kitu shida iko wapi" daaah! Ndio Jamii tunayoishi nayo hiyo, na hao ndio wanawafichia siri Wanaume zao Wabakaji na Walawiti baadae wanakuja kusema Binti wa miaka 15 alikua Malaya kapelekwa na Mzazi wake kwa R.kelly ili amnajisi wapewe pesa, [emoji119]
Kama Jamii hasa za Kiafrica tuna safari ndefu sana katika Malezi na Makuzi ya Watoto, Jamii ina ukatili mkubwa sana kwa Watoto,
Kongole kwa Mahakama kwa Kumfunga huyo pedophile, anayemuonea huruma sana amfate wafungwe wote wakalawitiane vizuri.
Akafie mbele huko ushahidi kila kitu kipo waziDuuuh mkuu acha kumwita mbwa my crush wangu banaa
Ushoga unahusu nn ktk hii case? Mbna unachanganya madam hapa.Wasanii wa RnB hua wanakua na issues au ushoga au pigo hizo.
Yes, Nasikia freemasonry ukitofautiana nao basi wanakutengenezea kama vile Mbowe alivyomfanyia LissuNi wivu tu
Mtu anakwambia "kuangalia images za uchi wa mtoto halafu hamfanyi kitu shida iko wapi" daaah! Ndio Jamii tunayoishi nayo hiyo, na hao ndio wanawafichia siri Wanaume zao Wabakaji na Walawiti baadae wanakuja kusema Binti wa miaka 15 alikua Malaya kapelekwa na Mzazi wake kwa R.kelly ili amnajisi wapewe pesa, [emoji119]
Kama Jamii hasa za Kiafrica tuna safari ndefu sana katika Malezi na Makuzi ya Watoto, Jamii ina ukatili mkubwa sana kwa Watoto,
Kongole kwa Mahakama kwa Kumfunga huyo pedophile, anayemuonea huruma sana amfate wafungwe wote wakalawitiane
Shame
He’s gonna die a very painful death
Thank you so much ngoja nimtafakari tena ...miss u too best
Layman ndiyo huwa anachotwa akili na story za freemason.Yes, Nasikia freemasonry ukitofautiana nao basi wanakutengenezea kama vile Mbowe alivyomfanyia Lissu