Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

Hapa inshu siyo mtu mweusi au mweupe.
Jela kivyovyote vile ukiona mtu kahukumiwa kwenda huko, siyo jambo la kukenua meno na kuchekelea.

Jela unaweza kwenda hata wewe, iwe umetenda kosa au haujatenda.
Uko sahihi ndugu. Dunia hii ina hiana nyingi. Wapo wanaoenda jela kwa haki na wanaopelekwa kwa hiana tu!
 
Kauli ya kipumbwa sana

There was no need to bring race card hapo

Uhalifu wa kingono hauna issue ya weusi au weupe

Bladifuul
Kiufupi hujaelewa umekurupuka sana
Sijamlaumu Kelly wala sijawalaumu wenye system
Nimeongelea tu yale weusi wanayopitia ..

Shida vizee kama nyie huwa mnakurupuka your time gone oldman
 
Hii kesi imekaa kibaguzi sana ,naona wameamua kumfuta jamaa kwenye records kabisa kama vile hajawahi kuwepo naona hata baadhi ya nyimbo huko youtube wameamua kuziondoa
 
Hapa inshu siyo mtu mweusi au mweupe.
Jela kivyovyote vile ukiona mtu kahukumiwa kwenda huko, siyo jambo la kukenua meno na kuchekelea.

Jela unaweza kwenda hata wewe, iwe umetenda kosa au haujatenda.
Afrika jela ni kwa ajili ya watu masikini, tofauti na Kwa weupe jela ni ya wote
 
Hii kesi imekaa kibaguzi sana ,naona wameamua kumfuta jamaa kwenye records kabisa kama vile hajawahi kuwepo naona hata baadhi ya nyimbo huko youtube wameamua kuziondoa
Ukiwazingua freemason ni lazima wakuzingue.tupac,BIG small, michael jackson,dmx,left eye,kobe bryant,bob marley,and moore.
Hela ya shetani haiendi bure.
 
Hapa inshu siyo mtu mweusi au mweupe.
Jela kivyovyote vile ukiona mtu kahukumiwa kwenda huko, siyo jambo la kukenua meno na kuchekelea.

Jela unaweza kwenda hata wewe, iwe umetenda kosa au haujatenda.

Sihuwa mnawakejeli askari magereza leo hizi busara zimetoka wapi[emoji3166]

Kila mmoja wetu ni mfungwa mtarajiwa tuheshimu watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…