Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

Jamaa kwa umaalufu wake ameshakula za wale wazee 50+, akaja wale wa 40+, 30+, 25+, akala sana Slay queens wa Under 20. Sasa akaona ahamie under 18 aendele kuchimba dhahabu.
 
Huyu bado wanamfungaga tu..
Halafu hao wanawake vikiwa vibibi vinaenda kukiri vilitoa ushahidi wa uongo.
Mfano:
Kuna dogo mweusi miaka huko marekani alikua mbabe mbabe tu.
Pale mtaani wanakaa na wazungu na jirani mmoja ana mabinti mapacha.
Wakamuundia kesi ya ubakaji jamaa akala mvua Maisha.
Baada ya miaka 30 wale mabinti wakaenda wenyewe kusema hawakubakwa ulikua uongo.
Wanaomba reconciliation na wamlipe yule jamaa na aachiwe.
Yule jamaa alisema sitaki mnilipe,
Nawasamehe ila sitasamehe maisha.
Nataka nitoke tu nikakae na mamangu dakika za mwisho.
Basi.
Akatolewa.
Ila ye mzee,mamaake kibibi,vile vibinti vizee bahati nzuri walikua wanaishi wakasameheana.
 
Akirudi mtaani pipi moja itakuwa tsh 4000 na sukari kilo moja itakuwa laki tatu na nusu, kwa lugha nyepesi jamaa anarudi uraiani anakuta hadi Humphrey Polepole amemaliza term yake ya pili ya urais.
Sukuma gang nani atampa urais? Tanzania haiwezi kurudia kosa tena, Jiwe alitupa fundisho
 

Unajua hili la RK limeanza zamani sana nafikiri tulianza kujua 2007
Alikuwa anawalaghai wasichana wadogo na kuwapeleka kwenye locations tofauti tofauti na kuwa abuse
Kweli alikuwa na masharti yake akiyaita Rob’s Rules ukikiuka anabaka anawafanya anavyojua yeye na kuwaadhibu haswa

Wengi walikuwa ni Blacks na mostly underage girl and boys

Kuhusu picha za watoto wadogo wakiwa uchi
Hili linakera sana
Binadamu wengine huwa wanafanya na kupenda mambo ya ajabu sana kama jirani zetu wao wamevunja rekodi kwa kutembea na wanyama Na hata kuku

Hivi kweli kama kwa mfano unamkuta baba zima linamuangalia mtoto wa miaka mitatu uchi wake utafanya nini

Sasa hili halina tofauti na ku download picha za uchi za watoto wadogo tena infants

Kuna mda fulani walikamatwa hapa [emoji636] watu 2 mwanamke na mwanaume wakijifanya wauguzi toka hospitali wakifuatilia wanawake wenye watoto wachanga mpaka wajue wanaishi wapi

Halafu wanaenda ku visit wanajitambulisha kuwa wanapeleleza kama watoto wamekuwa abused
Wanaomba picha kama wakiwa wanaogeshwa au hata kuwaambia Kina mama wawavue nguo watoto ili waangalie majeraha

Lakini hawaishii hapo wanaomba kupiga na picha watoto wakiwa uchi eti zikachunguzwe kwa umakini kama kuna majeraha yaliyopona

Baada ya hapo wanaziuza kwenye mitandao na wapo washenzi kama hawa ndio wana download hizo picha

Ila hao wawili walikamatwa baada ya kushtukiwa wanachofanya


Kelly he’s guilty as sin na anastahili kifungo
Tena wanaweza kumuuwa jela just wait

Nilikuwa napenda sana nyimbo zake ila kwa aliyoyafanya ni mabaya sana na binadamu anaweza kufika mbali kwa fantasy
 

Acha wamshikishe adabu, huyu angelikua enzi za akina OSMAN wangemzima mazima mammae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…