TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

Mwaka 2004 kuna wimbo wa Mandojo na Domokaya nilikua nashusha mistari yote enzi hizo cassete.

Pumzika kwa amani Mandojo. Japo inanifikirisha hawa jamaa wanaishi maisha gani kiasi kufananishwa na mwizi.
Kwani yule mwanafunzi wa chuo
Aliyeitiwa mwizi na dem wake alikuwa mwizi!
Hii dunia uwanja wa fujo mzee

Ova
 
Huu ndo ubaya wa Mob Justice Yaani Wanok Nok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…