TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

Mandojo na Domokaya walikuwa talented sana kila mmoja akikubali uwezo wa mwenzake mandojo mkali wa guitar nakuimba huku Domokaya mkali wa kurap miongoni mwa master piece walizotengeneza
Nikupe Nini mpenzi
Wanock nock
Nizikwe hai
Taswira
Dingi

Japo wenyewe walishawahi kukiri kuwahi kuiba kwenye mabehewa ya treni ili maisha yaweza kuendelea
 
Back
Top Bottom