Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Duh walinzi wa Roman Catholic ndio wampige hadi kumuua kwa kosa gani sasa?Hapana mke wake alikuwa nyumbani wanasema aliingia kanisani ndio akapigwa na walinzi wa Roma
Hao walinzi wanatakiwa kushtakiwa, unampigaje mtu asiye na silaha hadi kumuua?Duh walinzi wa Roman Catholic ndio wampige hadi kumuua kwa kosa gani sasa?
wanasema kuna video, iwekeni hapo watu wasaidia kuwakamata.Duh walinzi wa Roman Catholic ndio wampige hadi kumuua kwa kosa gani sasa?
Father Nelly na kundi lake walikuwa na usela flani wa kimavi sana,wengi walishakufa kwa mazingira ya kihunihuni tu,angalau Kabello siku hizi ame grow,u gangster wa ki marekani uliwaathiri kwa kiasi kikubwa, rest easy Dojo.Na kifo cha faza nelly alichomwa visu kifuani. Tunapoteza watu wengi wazuri
Alikuwa ni muhuni mwenzao tu, ndiyo maana hata polisi hawakuhangaika sana, ilikuwa ni ile mbwa kala mbwa style.Yule aliyemchoma kisu faiza newly
Hakupatikana mpaka leo
Ova
Kwani yule mwanafunzi wa chuo
Aliyeitiwa mwizi na dem wake alikuwa mwizi!
Hii dunia uwanja wa fujo mzee
Ova
Hii dunia watu washavurugwaNdiyo maana wanasema usimtembelee mwanamke anayeishi ghetto au hostel kwa kumstukizia bila taarifa...Wengi wameitiwa wezi na baadhi wameuawa.
Me naongezea usiende makazi ya mwanamke kabisaNdiyo maana wanasema usimtembelee mwanamke anayeishi ghetto au hostel kwa kumstukizia bila taarifa...Wengi wameitiwa wezi na baadhi wameuawa.
Inasikitisha sana mkuu..😑