Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona comment yako umeigeuza juu chini?Huko mikoani sio salama Sana watu wapo immature, b'cozb most of peoples are heartless
Jazia nyama kidogo basi ,,, alikuwa anaumwa au ajali ???.. hivi kati ya mandojo au domokaya yupi hasa alofungua mradi wa soko ??
Dah. Dunia tunapita hatuijui kesho yetu.!Pole sana Dear.
Kuna taarifa watu wamemshambulia wakijua mwiziMkuu kwani kifo cha Mandonjo chanzo ni nini?
Wakati nikiwa mdogo nilikua najua jamaa ni mapacha 😀😀😀😀Mandonjo na Domokaya walikua ni marafiki walioshibana haswa,mpaka inapelekea watu wengi kutokumjua yupi ni Mandonjo na yupi ni Domokaya,
Rest Easy LEGENDARY.
Mkuu umenikumbusha ule wimbo wao wanaimba "Tuna hasira kama vile tumemwagiwa maji ya betri"R.i.p kwake. Ivi mabaga fresh wako wapi?
View: https://youtu.be/_0xGY0FllGE?si=jBR-YxS9VzeFwdHo
Feel the Track.
Dodoma matukio ya kuuana ni mengi sana unreported.
Wiki iliyopita vijana watatu wamefariki kifo cha ajabu wakiwa ni MaDJ kwenye music wa kifamilia Mkesha wa Harusi kule Mlowa Mvumi Wilaya ya Chamwino.