Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Wewe una shida mbili: kwanza umeshindwa kujua kwamba kila siku serikali inasema, tena bungeni ni marufuku mwili wa marehemu kuzuiwa kwa kisingizio cha deni, lakini wewe hiki kinachofanyika umeona ni sawa tuuu. Pili unapomwambia atafute pesa ni wewe uliyemsaidia kutafuta pesa ya kumuuguza mgonjwa wake hospittalini mpaka akafariki? Je unajua mpaka mgonjwa anafariki ametumia sh ngapi hospitalini kabla ya wewe kuja na kejeli zako za kijinga??Mkuu shida Nini kwenye hiyo kauli? Unaniniita zuzu kisa kusema tutafuteni Hela Mzee. Well ubarikiwe.
Mwisho ukiona mtanzania anamwambia mwenzake tafuta pesa jua ni zuzu kwa sababu hujui maisha ya huyo unayemwambia tafuta pesa zaidi ya kumuona akiposti mtandaoni. Siyo kila mtu anayepata pesa huwa anapita nazo mtaani kuwaonyesha kama anazo.