Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
- Thread starter
- #181
Leteni picha inayoonekana vizuri na ipostiwe kwenye mitamdao
Nchi nyingine Sirro angeshurutishwa kung'atuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leteni picha inayoonekana vizuri na ipostiwe kwenye mitamdao
Nchi nyingine Sirro angeshurutishwa kung'atuka
Mbona Waziri MWIGULU alisema SIO POLISI leo imekuwaje?Dunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku.
Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara, Mussa Mussa kijana aliyekuwa anajitafutia maisha yake.
Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao huko hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi Jeshi la Polisi.
Askari huyu wa Sirro ni ndugu Gilbert Kalanje na anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara
Pia soma:
Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari
Mwigulu: Sikusema aliyemtishia Nape si Askari bali nilisema si Polisi; ni askari wa Idara nyingine
ALIYEMTISHIA NAPE KWA BASTOLA NI ASKARI - MWIGULU. Waziri wa zamani wa mambo ya ndani aliyefurushwa, Bw.Mwigulu Nchemba amesema hajawahi kusema kuwa mtu aliyemtishia Nape Nnauye kwa basola sio askari. Mwigulu amedai alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari, na kudai kwamba alichosema yeye ni...www.jamiiforums.com
View attachment 2098004
Gazeti la mwananchi la leo tarehe 28.1.202
Wasiojulikana wanaendelea kujulikana.
View attachment 2097971
Askari wa Sirro akiwa na bastola na pingu mwaka 2017.
View attachment 2097979
Bado yupo sahihi, huyu aliyeripotiwa na mwananchi sio aliyemtishia Nape. Mwananchi wamekurupukaMbona Waziri MWIGULU alisema SIO POLISI leo imekuwaje?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hahahahaaaaa,wanasiasa bhana!Mwigulu Nchemba huyu si ulisema siyo askari,imekuaje tena mheshiniwa x-minista of inteno afeasi? Au baada ya pale alienda cpp Moshi?
Msikanushe nusu bila kutoa taarifa isiyo na mashaka kuhusu matokeo yote mawili na wahusika wote. Hizi taarifa zisizorasmi zinatokana na taasisi za umma kutotimiza wajibu wake na kuachia wananchi kutegemea tetesi. Ndiyo maana nchi zinaitwa Banana republics. Zina uwezo mkubwa wa kufanya maovu kwa wananchi badala ya kuwatendea mema ambayo ndio wajibu wa serikali!Bado yupo sahihi, huyu aliyeripotiwa na mwananchi sio aliyemtishia Nape. Mwananchi wamekurupuka
Unaenda kanisani ama msikitini?Tunapo sema kwa Ujasiri kuwa Magufuli alikuwa muovu na kibaraka wa Ibilisi muwe mnaelewa na Wala hatuna ugomvi binafsi bali ni matendo yake ya kifedhuli dhidi ya Binadamu.
Kama yule mzee hayupo motoni basi hakuna Mungu tuendelee kutenda dhambi.
Hatari sana hawa jamaaHahahahaaaaa,wanasiasa bhana!
Asante Mungu kwa kunifundisha laws of nature.Karma haijawahi kumuacha mtu salama
Let’s hope so. Sirro ni indiketa tu ya uozo uliopo. Kumuondoa ni Rais kuonyesha utashi wa kisiasa kulisafisha jeshi la polisi.Mikakati ya Rais hatuijui, naamini yapo mahesabu yanayoendelea kumhusu Sirro.
Soma utabiri wa 2015 juu ya Tza ."anga la TANZANIA limejaa damu" KILA mtu ni shahidi za waliibuka nzige wasiojulikana wameacha yatima na wajane wengi nchini wakiteseka toka na kuuliwa kwa wapendwa wao kabla shetani ajafungwa minyororo.Unaenda kanisani ama msikitini?
Unajuaje kama hakutubu?
Unafanya maovu makusudi ili ukatubu? Wacha kujijaza UJINGA hapa! Hata hivyo kutubu SI kusamehemwa mpaka muumba mwenyewe akusamehe.Unaenda kanisani ama msikitini?
Unajuaje kama hakutubu?
Unaenda kanisani ama msikitini?Tunapo sema kwa Ujasiri kuwa Magufuli alikuwa muovu na kibaraka wa Ibilisi muwe mnaelewa na Wala hatuna ugomvi binafsi bali ni matendo yake ya kifedhuli dhidi ya Binadamu.
Kama yule mzee hayupo motoni basi hakuna Mungu tuendelee kutenda dhambi.
Soma utabiri wa 2015 juu ya Tza ."anga la TANZANIA limejaa damu" KILA mtu ni shahidi za waliibuka nzige wasiojulikana wameacha yatima na wajane wengi nchini wakiteseka toka na kuuliwa kwa wapendwa wao kabla shetani ajafungwa minyororo.
Hata mauaji yanayoendelea ni muendelezo wa ile roho ya mauti iliyoasisiwa awamu ya tano.
Kumtukana marehemu sio uungwana.Kwani huyo shetani mwendakuzimu alikuwa na uungwana gani?
Hata Jiwe kuuwawa kwake huyu ni mshiriki
Kisanduku alikua ni miongoni mwa walinzi wa zero brain.Kisanduku ndio nani?Tumepigwa vipi tueleze