Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Sawa. Lakini kisiasa, Sirro anazidi kumuwekea wingu zito sana Samia mbele ya jamii ya watanzania wote hata CCM - na kimataifa. After all, he is on the verge of retirement.Mabeyo na Sirro ndio waliomtetea Samia mpaka amekuwa rais wa awamu ya sita, kuondoka kwake kutakuwa ni kwa amani kuliko hizi presha za JF.
Kimkakati ni muhimu atafute namna ya kumuweka mbali naye hata kwa kumlipa “a price he cannot refuse” IKIBIDI. She has unfettered hold on the national purse strings (sic).
Hata Magufuli alimuweka kando Makonda kinamna alipokuwa a big liability ya utawala wake hasa katika anga za kimataifa.