Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Bas kuna uwezekano watu wakubwa serikali wanahusika na mchezo huu.Hutumia polisi kunyang'anya Mali za businessmen
 
Mbona Waziri MWIGULU alisema SIO POLISI leo imekuwaje?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Bado yupo sahihi, huyu aliyeripotiwa na mwananchi sio aliyemtishia Nape. Mwananchi wamekurupuka
Msikanushe nusu bila kutoa taarifa isiyo na mashaka kuhusu matokeo yote mawili na wahusika wote. Hizi taarifa zisizorasmi zinatokana na taasisi za umma kutotimiza wajibu wake na kuachia wananchi kutegemea tetesi. Ndiyo maana nchi zinaitwa Banana republics. Zina uwezo mkubwa wa kufanya maovu kwa wananchi badala ya kuwatendea mema ambayo ndio wajibu wa serikali!
 
Tunapo sema kwa Ujasiri kuwa Magufuli alikuwa muovu na kibaraka wa Ibilisi muwe mnaelewa na Wala hatuna ugomvi binafsi bali ni matendo yake ya kifedhuli dhidi ya Binadamu.

Kama yule mzee hayupo motoni basi hakuna Mungu tuendelee kutenda dhambi.
Unaenda kanisani ama msikitini?

Unajuaje kama hakutubu?
 
Mikakati ya Rais hatuijui, naamini yapo mahesabu yanayoendelea kumhusu Sirro.
Let’s hope so. Sirro ni indiketa tu ya uozo uliopo. Kumuondoa ni Rais kuonyesha utashi wa kisiasa kulisafisha jeshi la polisi.

Lakini, ninachokiona weledi wa majeshi yetu ya usalama umeshuka sana. Putting aside the debate on morals and ethics, askari siku hizi wanaji-expose ovyoovyo kama vibaka wa mitaani.

Wanasuka mission za kitoto, huoni brains za maana ndani yake. Na wengine sijui kwa ujinga wanajisikia ufahari kujulikana when they ought to be deep in the shadows.

No wonder inadaiwa siasa za CCM zimeteka majeshi na kurundika vijana wengi wahuni huko. They are bungling everything. Na kazi zao kuu ni kupambana na “maadui” wa kisiasa, kutisha wanyonge na kufanya ujambazi. Akitokea jahili wa kweli kweli kama Hamza wanapata tabu sana. Wanaokolewa na maveteran wachache (real professionals) waliopo.
 
Unaenda kanisani ama msikitini?

Unajuaje kama hakutubu?
Soma utabiri wa 2015 juu ya Tza ."anga la TANZANIA limejaa damu" KILA mtu ni shahidi za waliibuka nzige wasiojulikana wameacha yatima na wajane wengi nchini wakiteseka toka na kuuliwa kwa wapendwa wao kabla shetani ajafungwa minyororo.
Hata mauaji yanayoendelea ni muendelezo wa ile roho ya mauti iliyoasisiwa awamu ya tano.
 

Kawa Gilbert Kalanje tena na si Henry Kisanduku?
 
Lile jina la Henry Kisanduku ni lake au ni wawili tofauti, yule aliitwa herry Kisanduku alitumwa na makonda kumteka Roma Mkatoliki
 
Unaenda kanisani ama msikitini?

Unajuaje kama hakutubu?
Unafanya maovu makusudi ili ukatubu? Wacha kujijaza UJINGA hapa! Hata hivyo kutubu SI kusamehemwa mpaka muumba mwenyewe akusamehe.

Watu kama Hitler, Iddi Amin, Mobutu, Mussolini, Magufuli hata wakitubu, ni vigumu kusamehewa
 
Tunapo sema kwa Ujasiri kuwa Magufuli alikuwa muovu na kibaraka wa Ibilisi muwe mnaelewa na Wala hatuna ugomvi binafsi bali ni matendo yake ya kifedhuli dhidi ya Binadamu.

Kama yule mzee hayupo motoni basi hakuna Mungu tuendelee kutenda dhambi.
Unaenda kanisani ama msikitini?

Unajuaje kama hakutubu?
Imeandikwa Usihukumu.
 
Kisanduku ndio nani?Tumepigwa vipi tueleze
Kisanduku alikua ni miongoni mwa walinzi wa zero brain.

Alipelekwa Pemba baada ya matukio mfululizo ni mtu pia mwenye misifa sifa isiyokua na maana ile awamu ilijaa mazuzu nao hii nayo ni muendelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…