Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Kwani huyu anayesoma gazeti hili la mwananchi anasemaje? Maana nadhani ndiye aliyehusika kumsukuma na kumwachanisha na Nape?
 
Kwa mfumo huo bora hata mgambo wa akiba wapewe mafunzo ya muda mfupimfupi wachukue Polisi Service. Police Force imejihalalishia kinyume na PGO.

Makamu wa Rais anasema tumechoka, nini maana yake.
Serikali ya Samia na Magufuli zote naona zinaanza kuwa sawa.
Utekaji umeanza
Polisi wameanza kubambikia watu kesi
 
Siro ni toothless
Ujue pia IQ yake ndogo anaendeshwa sana na watawala
 

Mwigulu: Sikusema aliyemtishia Nape si Askari bali nilisema si Polisi; ni askari wa Idara nyingine​

 
Picha ya 2017 anaonekana ka black flani iviiiii
Picha ya 2022 anaonekana maji ya kunde iviii

2017 vs 2022 ??
Teknolojia imekua sana hizo ni coloured tu mwenyewe unaweza kuchagua uwekeblack,magic ,nk nk.
 
Unafanya maovu makusudi ili ukatubu? Wacha kujijaza UJINGA hapa! Hata hivyo kutubu SI kusamehemwa mpaka muumba mwenyewe akusamehe.

Watu kama Hitler, Iddi Amin, Mobutu, Mussolini, Magufuli hata wakitubu, ni vigumu kusamehewa
Unge kuwa Mungu tungekoma.

Tukengukwa tunatoka loji ama guest unatupiga kipigo kitakatifu.
 
Walimuua Yesu akawaombea Msamaha.

Kwani una uhakika Magufuli aliua mtu?
Ukikua utaelewa.Huwezi ukafanya dhambi za kujirudia rudia tena kwa makusudi na kwa kiburi huku ukionywa, then Mungu akusamehe, pili uhakika upi kama iliombwa toba.
KILA mwanadamu uchague wapi aende kuzimu au paradiso ni uamuzi binafsi.
Kuuwa ni kumkosoa Muumba.
 
Unauhakika aliua?

Tangu aondoke watu hawauwai tena?

Uliaminishwa vibaya bila wewe kuelewa.
 
Unauhakika aliua?

Tangu aondoke watu hawauwai tena?

Uliaminishwa vibaya bila wewe kuelewa.
Tuambie wewe kama umesikia mtu maarufu, tajiri au mkosoaji amekamatwa au kufa kama akina Ben Saanane?
 
Tuambie wewe kama umesikia mtu maarufu, tajiri au mkosoaji amekamatwa au kufa kama akina Ben Saanane?
Kwa hiyo Mbowe humuoni au? .

Hujui ile kesi ya vijana watano walio potea tangu December hadi leo?
 
Kwa hiyo Mbowe humuoni au? .

Hujui ile kesi ya vijana watano walio potea tangu December hadi leo?
La Mbowe liko tofauti sana. Msilazimishe Samia afanane na yule Dikteta. Dikteta alikuwa anateka nakukupeka mafichoni kama alivyofanyiwa Roma na MoDewji.

Dikteta Magufuli alikuwa anaua na kukufunga kwenye vi sulphate kisha kukutupa baharini kama akina Ben Sanane na Azory Gwanda.

Mbowe ametuhumiwa na kesi iko Mahakamani na inasikilizwa. Kumbuka Uamsho walikaa rumande miaka 8 bila kesi yao kusikilizwa
 
Timu Bi Tozo utawajua tu.

Na vijawana watano waliopotea hadi leo?.

Na yule mfanya biashara wa madini aliyekufa kituo cha polisi kule Mtwara, na yule kijana aliye pigwa risasi na policy?

Au wewe hayo huyaoni?. Acha hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…