Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Tatizo huanzia hapo kwenye elimu ya kubahatisha.Tuliambiwa hatuhitaji wenye ufaulu mzuri ama mm nimesahau - nirekebishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo huanzia hapo kwenye elimu ya kubahatisha.Tuliambiwa hatuhitaji wenye ufaulu mzuri ama mm nimesahau - nirekebishe
KarmaKarama''
Kwani huyu anayesoma gazeti hili la mwananchi anasemaje? Maana nadhani ndiye aliyehusika kumsukuma na kumwachanisha na Nape?Dunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku.
Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara, Mussa Mussa kijana aliyekuwa anajitafutia maisha yake.
Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao huko hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi Jeshi la Polisi.
Askari huyu wa Sirro ni ndugu Gilbert Kalanje na anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara
Pia soma:
Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari
Mwigulu: Sikusema aliyemtishia Nape si Askari bali nilisema si Polisi; ni askari wa Idara nyingine
ALIYEMTISHIA NAPE KWA BASTOLA NI ASKARI - MWIGULU. Waziri wa zamani wa mambo ya ndani aliyefurushwa, Bw.Mwigulu Nchemba amesema hajawahi kusema kuwa mtu aliyemtishia Nape Nnauye kwa basola sio askari. Mwigulu amedai alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari, na kudai kwamba alichosema yeye ni...www.jamiiforums.com
View attachment 2098004
Gazeti la mwananchi la leo tarehe 28.1.202
Wasiojulikana wanaendelea kujulikana.
View attachment 2097971
Askari wa Sirro akiwa na bastola na pingu mwaka 2017.
View attachment 2097979
View attachment 2098356
Serikali ya Samia na Magufuli zote naona zinaanza kuwa sawa.Kwa mfumo huo bora hata mgambo wa akiba wapewe mafunzo ya muda mfupimfupi wachukue Polisi Service. Police Force imejihalalishia kinyume na PGO.
Makamu wa Rais anasema tumechoka, nini maana yake.
Siro ni toothlessHivi kwa nini Siro anatumika sana kwenye uongo? Tukio la MO yeye ndo alidanganya Umma kwa kuleta picha za kawaida kusema ni za CCTV camera, ili la Nape nalo akadanganya kumbe bado ni askari, limekuja la Mbowe kaja kwenye camera anatoa na macho kua Kuna ushahid wa kutosha kua mbowe ni gaidi afu ushahidi wake ni huu tunao usikia. Huyu Siro inawezekana ana maovu mengi ndo inakua rahisi kutumika na waovu
Ifanyiwe rebuilding haraka sana.Polisi inatakiwa ivunjwe haraka
Dunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku.
Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara, Mussa Mussa kijana aliyekuwa anajitafutia maisha yake.
Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao huko hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi Jeshi la Polisi.
Askari huyu wa Sirro ni ndugu Gilbert Kalanje na anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara
Pia soma:
Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari
Mwigulu: Sikusema aliyemtishia Nape si Askari bali nilisema si Polisi; ni askari wa Idara nyingine
ALIYEMTISHIA NAPE KWA BASTOLA NI ASKARI - MWIGULU. Waziri wa zamani wa mambo ya ndani aliyefurushwa, Bw.Mwigulu Nchemba amesema hajawahi kusema kuwa mtu aliyemtishia Nape Nnauye kwa basola sio askari. Mwigulu amedai alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari, na kudai kwamba alichosema yeye ni...www.jamiiforums.com
View attachment 2098004
Gazeti la mwananchi la leo tarehe 28.1.202
Wasiojulikana wanaendelea kujulikana.
View attachment 2097971
Askari wa Sirro akiwa na bastola na pingu mwaka 2017.
View attachment 2097979
View attachment 2098356
Teknolojia imekua sana hizo ni coloured tu mwenyewe unaweza kuchagua uwekeblack,magic ,nk nk.Picha ya 2017 anaonekana ka black flani iviiiii
Picha ya 2022 anaonekana maji ya kunde iviii
2017 vs 2022 ??
Mission failedKupelekwa mtwara kwa nape yawezekana ilikuwa mission to be accomplished, ila ndo hivyo tena
Walimuua Yesu akawaombea Msamaha.Imeandikiwa usiue
Unge kuwa Mungu tungekoma.Unafanya maovu makusudi ili ukatubu? Wacha kujijaza UJINGA hapa! Hata hivyo kutubu SI kusamehemwa mpaka muumba mwenyewe akusamehe.
Watu kama Hitler, Iddi Amin, Mobutu, Mussolini, Magufuli hata wakitubu, ni vigumu kusamehewa
Ukikua utaelewa.Huwezi ukafanya dhambi za kujirudia rudia tena kwa makusudi na kwa kiburi huku ukionywa, then Mungu akusamehe, pili uhakika upi kama iliombwa toba.Walimuua Yesu akawaombea Msamaha.
Kwani una uhakika Magufuli aliua mtu?
Unauhakika aliua?Ukikua utaelewa.Huwezi ukafanya dhambi za kujirudia rudia tena kwa makusudi na kwa kiburi huku ukionywa, then Mungu akusamehe, pili uhakika upi kama iliombwa toba.
KILA mwanadamu uchague wapi aende kuzimu au paradiso ni uamuzi binafsi.
Kuuwa ni kumkosoa Muumba.
Unauhakika aliua?
Tangu aondoke watu hawauwai tena?
Uliaminishwa vibaya bila wewe kuelewa.
[/QUOTE
Kua kwanza, KILA mtu anakushangaa
Tuambie wewe kama umesikia mtu maarufu, tajiri au mkosoaji amekamatwa au kufa kama akina Ben Saanane?Unauhakika aliua?
Tangu aondoke watu hawauwai tena?
Uliaminishwa vibaya bila wewe kuelewa.
Kwa hiyo Mbowe humuoni au? .Tuambie wewe kama umesikia mtu maarufu, tajiri au mkosoaji amekamatwa au kufa kama akina Ben Saanane?
La Mbowe liko tofauti sana. Msilazimishe Samia afanane na yule Dikteta. Dikteta alikuwa anateka nakukupeka mafichoni kama alivyofanyiwa Roma na MoDewji.Kwa hiyo Mbowe humuoni au? .
Hujui ile kesi ya vijana watano walio potea tangu December hadi leo?
Timu Bi Tozo utawajua tu.La Mbowe liko tofauti sana. Msilazimishe Samia afanane na yule Dikteta. Dikteta alikuwa anateka nakukupeka mafichoni kama alivyofanyiwa Roma na MoDewji.
Dikteta Magufuli alikuwa anaua na kukufunga kwenye vi sulphate kisha kukutupa baharini kama akina Ben Sanane na Azory Gwanda.
Mbowe ametuhumiwa na kesi iko Mahakamani na inasikilizwa. Kumbuka Uamsho walikaa rumande miaka 8 bila kesi yao kusikilizwa