Mwananchi amwaga Machozi akimtaka Rais Samia kufuta Mkataba wa DP World

Kwamba DP World watafanya kazi ya TRA ? kama TRA walishindwa kukusanya wakato ule leo ndio watakusanya
Hata mbili huanza na moja. Mdogo mdogo tutafika. Mama anaonesha njia tu kwamba tuliibiwa kitambo sana na watanzania wasiowazalendo na Bado wanawatumia akina Shivji na Tundu lisu kuwanusulu ili waendelee kuiba
 
Umesahau kumtukana MBOWE, LISU, LEMA, MSIGWA Na zito! Pia hujaitaja MIGA na kujapiga picha masink y choo cha ufipa hivyo hujaandika kitu
 
Hata mbili huanza na moja. Mdogo mdogo tutafika. Mama anaonesha njia tu kwamba tuliibiwa kitambo sana na watanzania wasiowazalendo na Bado wanawatumia akina Shivji na Tundu lisu kuwanusulu ili waendelee kuiba
Kaanza kuonyesha njia lini au ataanza lini ? Wizi mwingi tu umetokea under her watch (kilichofuata alishangaa akapiga kimya) sasa hivi business as usual kama hakuna kilichotokea..., hio ndio njia unayosema au sijakuelewa
 
Mama Huwa anashughulika na wizi kimyakimya siyo kupiga makelele kama enzi zile mpaka wakafikia hatua ya kuanzisha eti kishindo Cha jpm kupitia tbc. Mama siyo mtu wa kujionesha eti amefanya Bali vitendo ndo vinaongea
 
Hakika ni dhambi na uzandiki kuzusha uongo dhidi ya mtu yeyote watu tumesoma na bado tumehudhuria seminar hamna kifungu chochote palipoandikwa bandari imeuzwa.njooni na uthibitisho kuwa kifungu fulani mstari fulani siyo kuleta taharuki na hofu.Tatzo watu walizoea mteremko na kupitisha mizigo bandarini bila kukaguliwa wana hofu kuwa vifaa na uwezo wa utambuzi utawaumbua na hawatapitisha tena mizigo kw kisingizio cha baba paloko
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Huyo aliyelia hana maarifa sawa na wengi tu huku mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…