walimbebea hela zake bana, wewe uwe na msongo huko uje uue askari bila chochote ...haiwezekani kuna jambo hapaNaona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.
Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini hizo ABC wameshapata.
View attachment 1912045
Hilo ndiyo swali kubwa kwa hivi sasa.
Gaidi lilikiwa na nguo za kijani.Hamza ni gaidi Kama magaidi wengine wa bavicha walioko ndani
USSR
Unapoteza hela Mbeya kisha unakuja Dar kuua askari wakati Mbeya askari wapo! Askari wa Dar wanahusika nini na matukio ya Mbeya? Hamza kuwa msomali si kigezo cha kutaka kutuaminisha kuwa alikuwa na malengo ya ugaidi, kitendo cha polisi kuikamata familia yake kilikuwa ni cha kibaguzi kikabila na kidini.Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.
Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini hizo ABC wameshapata.
View attachment 1912045
Nikisikiliza ile clip ya sauti ya Hamza sion dhuruma wala Madini na ushenzi tu aliojiamulia kuufanyaMilioni 400 ndio chanzo halafu hasira zake akawaelekezea polisi?
Inahitajika Tume Huru iundwe kuchunguza hili tukio, vyombo vya habari na wengine wote wanaogopa kutumia akili zao vizuri kwa hofu ya kufungiwa, tumebaki na speculation za mitandaoni pekee...
Mmmh msongo wa mawazo ukamuelekeza adili na polisi tu.., daaah haya mwandishi.Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi...
Lakini yeye alipendelea kuvaa magwanda ya kijani!Kama unabisha muulize mzee Humphrey Polepole!Hamza ni gaidi Kama magaidi wengine wa bavicha walioko ndani
USSR