Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Labda waliipoteza hiyo 400m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda waliipoteza hiyo 400m
Ile klip inaweza kuongea story nzima ya hasira zake? Unajua alichoambiwa huko alikotoka kisha akaanza kupambana na polisi na kuacha raia kibao?Nikisikiliza ile clip ya sauti ya Hamza sion dhuruma wala Madini na ushenzi tu aliojiamulia kuufanya
Kwahyo kutaja Allah Akbar ni ugaidi.Huyo ni gaidi alikuwa anataja Allah Akbar
Kuna video ipo humu ilirekodiwa ndani ya ile daladala alioisahehe, ukisikiliza utajua kwanini kawalenga polisi. Wala sio kudhulumiwa hela.
Sure, he was also thoughtful to take their guns to restrict people with bad intentions to use them. What a good story.So the man has a lot of frustrations and after careful consideration he choose to kill 3 policemen and leave the civilian alive!
The story is too good to be true
Hawa mwananchi Ni sawa na udaku,Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.
Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya alichofanya wameshajua.
Pia watu wa media mmeshindwa kabisa kupata watu waliokuwa ndani ya ile daladala na kuwahoji alichozungumza Hamza? Mambo yashakuwa tafrani.
View attachment 1912045
Hapo lazima kuna tatizo tena kubwa haswaKwanini AWAUE POLISI TU?
Kwanini AWAUE POLISI TU?
Hao waandishi bado wapo?Milioni 400 ndio chanzo halafu hasira zake akawaelekezea polisi?
Inahitajika Tume Huru iundwe kuchunguza hili tukio, vyombo vya habari na wengine wote wanaogopa kutumia akili zao vizuri kwa hofu ya kufungiwa, tumebaki na speculation za mitandaoni pekee.
Waandishi wa habari za kiuchunguzi wanaoheshimika na walio na uhuru wakufanya kazi zao pia wangesaidia kupata majibu, tatizo ndio hofu ya kufungiwa vyombo vyao imewakumba.
Zinatakiwa mioyo kama hii na dharau za Dar na Dodoma zingeshaisha .Funzo
Kumdhulumu Msomali sio kama kumdhulumu Muhindi!
Zinatakiwa mioyo kama hii na dharau za Dar na Dodoma zingeshaisha .
Lakini kwa maneno maneno tutakesha
Kama ni uvumilivu basi vumilia na dhulma na ubambikaji wa mapolisi ambao hata mh. Samia aliuona .Na Amani na Utulivu tulionao pia utakwisha Sheikh wangu
Uvumilivu ndio msingi wa amani wa nchi yetu sio haki
Kwahiyo kusoma dini ni ugaidi? halafu kwa yeye kufanya mashambulizi kwa polisi tu alikuwa anataka tupate message gani kutoka kwenye huo ugaidi wake?Huyo ni gaidi. Kwanza alikwenda Misri kusoma dini.Wanasema alivyorudi alikuwa mtu mkimya sana. Hapo alikuwa radicalisé .
Wewe sauti ya Hamza unaijua?Na ile sauti kwenye video ambapo alisikika Hamza akimtuhumu afande siro nayo vipi?
Kwanini awaue polisi tu? Tukumbuke mwenye msongo wa mawazo akiamua kufanya hivyo hachagui wa kumuua.
Pia angekuwa na msongo wa mawazo angeanzia nyumbani asingepanda usafiri akafanye tukio sehemu maalumu kama ile
Mkuu tumia ubongo hata kidogo,Hamza ni mwana Lumumba mwenzako.Hamza ni gaidi Kama magaidi wengine wa bavicha walioko ndani
USSR