pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,559
kama ana mtoto anabwia unga basi ni wazi kwamba anajisikia vibaya kama wazazi wa hamza wanavyojiskia kuzaa mtoto ambaye kwa sasa anatambulika kama gaidi.
ni watu wazima ti wataelewana na sirro,wengine vichwa vitapata moto tu.
Alitakiwa amtaje na mtoto wake pia...ila.kwa ile kauli kwa wazazi wa Hamza utadhani yeye wtoto wake ni malaika kumbe wanabwia unga...nasikia Kuna wa kike hawajaolewa wamejazana nyumbani mpaka siku moja ameenda kwenye harusi ya mtoto wa afande mwenzake akawa anawapromote kuwa ana watoto wa kike wazuri na bado hawajaolewa.. mwambie zirro aweke Alina ya maneno tafadhali.