Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.

Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya alichofanya wameshajua.

Pia watu wa media mmeshindwa kabisa kupata watu waliokuwa ndani ya ile daladala na kuwahoji alichozungumza Hamza? Mambo yashakuwa tafrani.

View attachment 1912045
Kwa ini hakuuwa familia yao au waumini wa Msikitini kwao akauwe Polisi?
 
Hv wale wa 2014 to 2017 walikuwa wanakuja mjini Kati wanapora silaha na kuanza kuwashambukia polisi....na si kwamba walianza na wananchi polisi walipoingilia Kati ndo wakawa wanaua na polisi pia...ishu ya Hamza Kuna kitu nyuma si bure

achana na mawazo ya si bure.

shtuka kijana,ugaidi sio siasa zetu hizi za maji ya mtaro.
 
Unapoteza hela Mbeya kisha unakuja Dar kuua askari wakati Mbeya askari wapo! Askari wa Dar wanahusika nini na matukio ya Mbeya? Hamza kuwa msomali si kigezo cha kutaka kutuaminisha kuwa alikuwa na malengo ya ugaidi, kitendo cha polisi kuikamata familia yake kilikuwa ni cha kibaguzi kikabila na kidini.
Akili yako nyepesi sana kufikiri.
 
Kwa hyo wewe ni msaidizi wa Sirro anayewalaumu waziza wa Hamza kwa kumzaa Hamza wakati Hamza kafanya tukio akiwa mtu mzima???

IGP hajalaumu wazazi,amekumbusha wazazi kujitahidi kisimamoa mienendo ya watoto wao wasiishi bila kuwajua vyema,huo ni mwendelezo wa kauli zake baada ya ile ya kwanza kusema ndugu fuatilieni mienendo ya jamaa zenu.

na alichosema ndio hali halisi,wazazi wake kwa sasa wanajilaumu sana.
maana huenda walidhani kijana wao ni mtu poa sana.
 
achana na mawazo ya si bure.

shtuka kijana,ugaidi sio siasa zetu hizi za maji ya mtaro.

Huu ugaidi selective ndo unatufanya tuseme sio bure....na kimsingi kulikuwa na uwezekano wa kumthibiti Hamza akiwa hai na ukweli ukajulikana...ila polisi waliishia kurusha risasi Kama wehu...Tena hata hao watu waliojeruhiwa nahisi waliojeruhiwa na risasi za polisi maana polisi walikuwa hawajui wanachokifanya.
 
IGP hajalaumu wazazi,amekumbusha wazazi kujitahidi kisimamoa mienendo ya watoto wao wasiishi bila kuwajua vyema,huo ni mwendelezo wa kauli zake baada ya ile ya kwanza kusema ndugu fuatilieni mienendo ya jamaa zenu.

na alichosema ndio hali halisi,wazazi wake kwa sasa wanajilaumu sana.
maana huenda walidhani kijana wao ni mtu poa sana.

Wewe pekee ndo umemsikiliz Sirro kwa hyo umekuja kunisimulia alichokiongea au???mkuu naomba ebu kaa kimya huko kila mtu amesikia Sirro alichokiongea...Kama unamtetea kwa upuuzi alioongea sawa ila kila mtu amesikikiza kauli zake na kuzielewa.
 
Huu ugaidi selective ndo unatufanya tuseme sio bure....na kimsingi kulikuwa na uwezekano wa kumthibiti Hamza akiwa hai na ukweli ukajulikana...ila polisi waliishia kurusha risasi Kama wehu...Tena hata hao watu waliojeruhiwa nahisi waliojeruhiwa na risasi za polisi maana polisi walikuwa hawajui wanachokifanya.

ugaidi selective uko wapi hapo!!!unadhani angemwoma mwanajeshi angemuacha hapo!!!

hawa watu huwa wanatumia akili hii ili kushika vichwa vya watu wenye ram ndogo ndogo kama baadhi yenu.
hamza kushikwa akiwa hai labda hai ya kilimanjaro kwa mbowe.

nikueleweshe sasa,aliacha raia sababu alijua hakuna mwenye ujasiri wa kumfata amdhibiti,angetokea raia yeyote kujaribu kufanya kitu,story ingekaa vingine kabisa,kaulize gari la walinzi ambao mmoja amefariki na dereva amejeruhiwa,msipende sana kutumia viungo kufikiri.

polisi waliofika eneo la tukio,hawakutoka sehem moja wala kisimama sehem moja,hivyo haikuwa rais kujadili nini cha kufanya,ukizingatia jamaa aliishajua wamefika.
wewe hukumu,laumu,dharau,ila yatabaki kuwa makelele yasiyozingatia uhalisia,na utaalamu wa jambo husika.
 
Wewe pekee ndo umemsikiliz Sirro kwa hyo umekuja kunisimulia alichokiongea au???mkuu naomba ebu kaa kimya huko kila mtu amesikia Sirro alichokiongea...Kama unamtetea kwa upuuzi alioongea sawa ila kila mtu amesikikiza kauli zake na kuzielewa.

tunajua shida ni akili hamna,hilo sio swala la sirro sasa.
 
ugaidi selective uko wapi hapo!!!unadhani angemwoma mwanajeshi angemuacha hapo!!!

hawa watu huwa wanatumia akili hii ili kushika vichwa vya watu wenye ram ndogo ndogo kama baadhi yenu.
hamza kushikwa akiwa hai labda hai ya kilimanjaro kwa mbowe.

nikueleweshe sasa,aliacha raia sababu alijua hakuna mwenye ujasiri wa kumfata amdhibiti,angetokea raia yeyote kujaribu kufanya kitu,story ingekaa vingine kabisa,kaulize gari la walinzi ambao mmoja amefariki na dereva amejeruhiwa,msipende sana kutumia viungo kufikiri.

polisi waliofika eneo la tukio,hawakutoka sehem moja wala kisimama sehem moja,hivyo haikuwa rais kujadili nini cha kufanya,ukizingatia jamaa aliishajua wamefika.
wewe hukumu,laumu,dharau,ila yatabaki kuwa makelele yasiyozingatia uhalisia,na utaalamu wa jambo husika.

Upuuzi mtupu....kulikuwa na sababu gani polisi kuanza kurusha risasi Kama wehu wakati jamaa alikuwa hawalengi raia..acha kutulisha matango pori mkuu...FBI/CIA waliweza kumkamata KSM gaidi wa kimataifa akiwa hai nyie polisi wa sisiem mnashindwa kumkamata Hamza mwenye SMG ambazo mnajua kabisa Zina risasi ngapi halafu unakuja kuongea upuuzi hapa. Kwa nn maingefanya mbinu rahisi tu ya kumprovoke arushe risasi mpaka aishiwe halafu mnamkamata tu Kama kuku...hao walinzi binafsi nao viherehere tu labda walianza kumrushia risasi ndo akaamua kujibu.
 
tuliza mihemko mwanajeshi wa nyuma ya keyboard.
gaidi yuko peponi kama alivyodhamilia.
 
Hongera katika watanzania wote wewe na Sirro tu ndo mna akili...sisi wengine hamnazo...the vice versa is true anyways

usishikilie jambo kwa mkumbo na idadi,zingatia kama ni sahihi basi
 
Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".

Na sirro na yeye anajisikiaje kuzaa mtoto anayevuta bangi na kubwia unga...kweli nyani haoni kundule....sirro ni wa kumnanga mtoto wa mwenzie kweli wakati yeyewenyewe ana kimeo kwake...hana tofauti na yule aliyeita watoto wa wenzie vilaza wakati kilaza namba moja yupo nyumbani kwake. Haya mazao ya upe shida tupu..
 
tuliza mihemko mwanajeshi wa nyuma ya keyboard.
gaidi yuko peponi kama alivyodhamilia.

Na yeye kawapeleka polisi sisiem watatu jehanamu...Kuna ushujaa Kama huo...??? Tena angepita na kichwa Cha Zirro ingekuwa poa sana
 
Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".

Na sirro na yeye anajisikiaje kuzaa mtoto anayevuta bangi na kubwia unga...kweli nyani haoni kundule....sirro ni wa kumnanga mtoto wa mwenzie kweli wakati yeyewenyewe ana kimeo kwake...hana tofauti na yule aliyeita watoto wa wenzie vilaza wakati kilaza namba moja yupo nyumbani kwake. Haya mazao ya upe shida tupu..

kama ana mtoto anabwia unga basi ni wazi kwamba anajisikia vibaya kama wazazi wa hamza wanavyojiskia kuzaa mtoto ambaye kwa sasa anatambulika kama gaidi.

ni watu wazima ti wataelewana na sirro,wengine vichwa vitapata moto tu.
 
Na yeye kawapeleka polisi sisiem watatu jehanamu...Kuna ushujaa Kama huo...??? Tena angepita na kichwa Cha Zirro ingekuwa poa sana

hakuna nafuu yeyote ya ugumu wa maisha utakayoipata hata baada ya hamza shujaa wako kufanya aliyoyafanya,zaidi uaendelea kumiss kwa mambo aliyokuwa akikupa akiwa hai.
 
Back
Top Bottom