mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Gaidi mstaarabu. Angalia Westgate magaidi walivyokuwa hawacheki na yeyote. Analo Jambo amefanyiwa na Polisi na amekufa nalo ndio maana Kamanda anaiatack familia yake.Mkuu kwa Hamza tunaongelea kuteka au kufanya shambulizi...hv kuna gaidi anafanyaga shambulizi selective yaani anawalenga watu fulani tu na wengine anawapita tu...Tena anawaambia kabisa endesheni magari au mnakimbia nn???Huyu gaidi ni wa kipekee Sana.