Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

Mkuu kwa Hamza tunaongelea kuteka au kufanya shambulizi...hv kuna gaidi anafanyaga shambulizi selective yaani anawalenga watu fulani tu na wengine anawapita tu...Tena anawaambia kabisa endesheni magari au mnakimbia nn???Huyu gaidi ni wa kipekee Sana.
Gaidi mstaarabu. Angalia Westgate magaidi walivyokuwa hawacheki na yeyote. Analo Jambo amefanyiwa na Polisi na amekufa nalo ndio maana Kamanda anaiatack familia yake.
 
Gaidi mstaarabu. Angalia Westgate magaidi walivyokuwa hawacheki na yeyote. Analo Jambo amefanyiwa na Polisi na amekufa nalo ndio maana Kamanda anaiatack familia yake.


Yaani Sirro chuki anayoonyesha kwa familia ya Hamza hakika Kuna jambo...Hamza mtu mzima unaanzaje kuwalaumu wazazi wake kwa matendo yake aliyoyafanya ukubwani..
 
Kuna polisi wengi humu kwenye hii siredi wanashupaza hasa
Kuna mawe zenu #%&*"> njaa kali nyie
 
Kuna clip iko huko twitter...anasikika akitoa onyo kwa siro kuhusu polisi kuuwa vijana wa ki-islam
SIJUI ZAIDI YA HAPA!!
 
Je yale magaidi yaliyo kuwa yakishambulia pale stakishari na yenyewe yalitapeliwa dhahabu ?
Endeleen kuwa tetea majangiri na magaidi siku yatakapo wakuta ndio mta kapo lia kilio na kusaga meno
Wale walikuwa wanaua mpaka raia wa kawaida.. Stakishari walienda kwa mission maalum ya kupora silaha..

Kule Kibiti wengi tu wameuawa. Vipi huyu aliweza wazuru wato mchana kweupe but he chose polisi, kwanini??
 
Uliona wakati jamaa anaporwa; au na wewe ndio walewale wanaosoma udaku?
Haya bwana Mkubwa nimekusoma!

Ila nimekuja na habari njema. Karibu, napata juice(sharubati) muda huu. Karibu mnoo!

Halafu unapata na viazi vitamu vimechemshiwa kwa tui la nazi na kaupepo kana kupiga hivi! Unajiona kama Sultani hivi huku unatizama kipindi cha utalii wa ndani Tz unakazi ya kupoint kuwa "yah! Pale nitapatembelea!"
 
Haya bwana Mkubwa nimekusoma!

Ila nimekuja na habari njema. Karibu, napata juice(sharubati) muda huu. Karibu mnoo!

Halafu unapata na viazi vitamu vimechemshiwa kwa tui la nazi na kaupepo kana kupiga hivi! Unajiona kama Sultani hivi huku unatizama kipindi cha utalii wa ndani Tz unakazi ya kupoint kuwa "yah! Pale nitapatembelea!"
Sawa.
 
Huyo ni gaidi. Kwanza alikwenda Misri kusoma dini.Wanasema alivyorudi alikuwa mtu mkimya sana. Hapo alikuwa radicalisé .

Hizi shule za kupeleka watoto wazazi lazima wawe makini.
Unampeleka mtu kusomea dini anaishia kusomea kuua watu wasio na hatia. Anaamini akifa anaenda kurithi mabikira wa kutosha huko aendako. Ujinga mkubwa sana
 
Watu ambao hamna ujasiri kusema Hamza anaonekana na watu gani mbalimbali kwenye picha mtakubali vipi ukweli huu mchungu wa Hamza ni gaidi? Hamza ni gaidi lililofanikiwa kuinflitrate mpaka CCM na likapewa uongozi ngazi ya Wilaya. Chunguzeni mjue magaidi kama Hamza wako wangapi, wapi, wanapanga nini, mtandao wao ni nani, wanafadhiliwa na nani vipi? Maswali ni mengi kùliko majibu.
CCM huwa wanachagua yoyote mwenye ukwasi,.Hata Shetani akitajirika ...atapata Uongozi .
 
Katika Serikali za kidikteta ni kawaida kabisa vyombo vya habari kutumikia madhalimu ili kesho viendelee kuwa hewani bila ya kujua kuwa mwisho wa siku vitakosa wateja na vitakufa vikiwa mdomo wazi🤡🤡🤡

Hao Mwanainchi nao wameanza kuwa kàma gazeti laTanzanite?
 
Hamza kwa hakika alikuwa timamu wa akili, alifanya hayo baada ya kutapeliwa na polisi wetu.polisi wamegeuka kuwa adui namba moja wa raia,polisi wanateka,wanakaba,wanatapeli,ikibidi wanauwa raia mwenye Mali.Hamza amekosa uvumilivu juu ya vitendo vya polisi wa kitanzania.Watu aina ya Hamza huenda wakawa wengi Kama hatua madhubuti za kuzuia uhuni ufanywao na polisi wetu hauta dhibitiwa.Polisi wanadhulumu raia Kila iitwayo Leo imefika wakati raia wamachoshwa na manyanyaso hayo.Tumuombe Rais asiishie kutoa pole kwa familiya za wafiwa bali uchunguzi huru ufanyike ,tusipotafuta suluhu ya kudumu huenda tutayaona mengi matukio ya kina Hamza.Hatukujifunza kwa Zombe na tusipojifunza kwa Hamza tutajenga matabaka ya kudumu.

Leo familiya ya LISSU ipoje.
Leo familiya ya Ben saa 8 ipoje.
Leo familiya ya mawazo ipoje.
Leo familiya ya KINGUYE ikoje.
Leo familiya ya AZORY GWANDA ipoje.
Leo familiya ya AKWILINA ipoje.
Leo familiya ya Mbowe ipoje.
Tusipojifunza kwa haraka Basi tutalazimishwa kujifunzi kwa machozi.
Rais timua Igp amekosa sifa halali za kuongoza jeshi adilifu.
 
Back
Top Bottom