Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Hakika!Kabisa kabisa, kwa hili ngosha hawachomoi, IGP akubali au aendelee kuwa kwenye "self denial" lakini ofisi yake has got big big problems, its time to act or to let the rot to continue...
Na ni damu ya Kisomali ile wasifikiri ya Kibantu! Wasifanye upuuzi, wacheze fare game. Hata ikiwabidi waende kisiri wakawaombe familia msamaha na yaishe.
Hawa wana undugu lakini kuna kabila vilevile.
Ila polisi wa Kibongo sijui wana matatizo gani! Hata raia wanaoenda kituoni kuwaona ndugu zao wanawachukulia kama wahalifu.