Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

Mwananchi litakuwa limekula mkwanja kusafisha familia ya gaidi na ukizingatia kaimu mkurugenzi wa mwananchi ni wale wale
Police ichunguze vyombo vya habari vinavyotwist na kutetea magaidi
Unalipwa ngap bwashee Mana Toka juzi upo unashupaza shingo ,,unaonekana kuwa na chuki binafsi Sana..
Hujui ht tafsiri ya Gaidi na Ugaidi...Rudi shule dogo
 
Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.

Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya alichofanya wameshajua. Pia watu wa media mmeshindwa kabisa kupata watu waliokuwa ndani ya ile daladala na kuwahoji alichozungumza Hamza? Mambo yashakuwa tafrani.

View attachment 1912045
Hata kama ni msongo je kwanini awaue polisi tu? Au unataka sema polisi ndio walimuibia hizo 400mil??
 
Mtu mwenye msongo wa mawazo afyatulie risasi polisi amjeruhi kisha amkimbize ili akammalizie na anafanikiwa? Pia anaua mapolisi na kuchukua bunduki zao? Jini ni mapolisi wa Sirrona mimi nasema acha wapigwe maana ni kero TUPU kwa jamii!

Angekuwa na msongo wa mawazo na pesa basi pale Stanbic wafanyakazi wote angewageuza maiti na angepiga piga risasi hovyo ndani ya ile benki. Ila jamaa smart ali deal na polisi tuuuuu na alipokuwa anawarushia risasi mapolisi alikuwa anajitahidi kukwepa mpaka nzi.
 
Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.

Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya alichofanya wameshajua. Pia watu wa media mmeshindwa kabisa kupata watu waliokuwa ndani ya ile daladala na kuwahoji alichozungumza Hamza? Mambo yashakuwa tafrani.

View attachment 1912045

Hamza alikuwa na jambo lake na sirro, Over
 
Huyo ni gaidi alikuwa anataja Allah Akbar
Mbona Allahu Akbaru inatajwa kila siku mara Tano Misikitini?
Kutaja Allahu Akbar si Hoja Muruwa.
Itafutwe Sababu ya Hamza Kuwafyatulia Risasi Askari,
Isije ikatokea akaja Ndugu yake akalipiza Kisasi kwa kuendeleza Kuuwa askari wengine,
Uadilifu na Ukweli unahitajika hapa.
Si kila mtu ni wa kumchezea kama Polisi walivyozowea kuwachezea Wazenji kwa kuwaua , nyakati za Chaguzi au maandamano.
Hamza ni damu ya Kisomali.
 
Huyo ni gaidi alikuwa anataja Allah Akbar
Gaidi aliyekuwa kada mkubwa ndani ya chama kilichopo Madarakani,
Gaidi aliyetoa michango kwenye kampeni za uchaguzi 2020 za ccm.
Gaidi aliyekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm!!gaidi aliyekula meza moja na viongozi waandamizi wa ccm!!
Hatari kabisa,ccm wamechoka,hawana jipya wanaloweza kufsnya ndani ya nchi hii,kama wanakaa na "gaidi"na vyombo vyao vya usalama vinashindwa kumtambua!,shame
 
Milioni 400 ndio chanzo halafu hasira zake akawaelekezea polisi?

Inahitajika Tume Huru iundwe kuchunguza hili tukio, vyombo vya habari na wengine wote wanaogopa kutumia akili zao vizuri kwa hofu ya kufungiwa, tumebaki na speculation za mitandaoni pekee.

Waandishi wa habari za kiuchunguzi wanaoheshimika na walio na uhuru wakufanya kazi zao pia wangesaidia kupata majibu, tatizo ndio hofu ya kufungiwa vyombo vyao imewakumba.
Kabendera angetusaidia Sana ktk hili.
 
Back
Top Bottom