kama ana mtoto anabwia unga basi ni wazi kwamba anajisikia vibaya kama wazazi wa hamza wanavyojiskia kuzaa mtoto ambaye kwa sasa anatambulika kama gaidi.
ni watu wazima ti wataelewana na sirro,wengine vichwa vitapata moto tu.
hakuna nafuu yeyote ya ugumu wa maisha utakayoipata hata baada ya hamza shujaa wako kufanya aliyoyafanya,zaidi uaendelea kumiss kwa mambo aliyokuwa akikupa akiwa hai.
Polisi sisiem watatu wamepelekwa jehanamu na mtu mmoja...Kuna Jambo nzuri Kama Hilo???
Alitakiwa amtaje na mtoto wake pia...ila.kwa ile kauli kwa wazazi wa Hamza utadhani yeye wtoto wake ni malaika kumbe wanabwia unga...nasikia Kuna wa kike hawajaolewa wamejazana nyumbani mpaka siku moja ameenda kwenye harusi ya mtoto wa afande mwenzake akawa anawapromote kuwa ana watoto wa kike wazuri na bado hawajaolewa.. mwambie zirro aweke Alina ya maneno tafadhali.
Ulitaka adili na raia kama garisa? Mbona tungehesabu mizoga 100.Mmmh msongo wa mawazo ukamuelekeza adili na polisi tu.., daaah haya mwandishi.
Nani kukuambia nipo kwenye hili jiji lenu linalonuka...yaani hata wangekufa wote hao ngedere sawa tu....maana hawana wamalojua zaidi ya rushwa...dhuluma na kuchukua wake za watu..polisi kufa ni sehem ya kazi yao,ila wewe kifiliwa na mwamba wako,sijui utaishije hapa town.
hahahahHamza ni gaidi Kama magaidi wengine wa bavicha walioko ndani
USSR
DuuhHuyo ni gaidi alikuwa anataja Allah Akbar
Nani kukuambia nipo kwenye hili jiji lenu linalonuka...yaani hata wangekufa wote hao ngedere sawa tu....maana hawana wamalojua zaidi ya rushwa...dhuluma na kuchukua wake za watu..
Polisi wanahusika vipi na upotevu wa mil, 400Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.
Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya alichofanya wameshajua.
Pia watu wa media mmeshindwa kabisa kupata watu waliokuwa ndani ya ile daladala na kuwahoji alichozungumza Hamza? Mambo yashakuwa tafrani.
View attachment 1912045