Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Nilivutiwa Na kuanza kuingiwa na uoga kusoma hii habari lakini alipoingia lema tu nikaacha kusoma majungu.
 
Mimi Ni Mtumishi Wa Afya Nipo Kwenye Hiki Kitengo cha kupambana Na COVID-19 Mkoa X , Kikubwa Tuchukue Tahadhari Hali Ni Mbaya Sana Sana Sana. Si Mnasikia Maabara Ipo Kwenye Marekebisho Maabara Ya Taifa? Sahizi Kila Kipimo ni NEGATIVE. Mbaya Zaidi Sahizi Hata Ukiwa Suspected Unaruhusiwa Kwenda Nyumbani Na Kujichanganya Na Watu Hakuna Kitu Kinaitwa QUARANTINE kwa Tanzania (Only In Tanzania), Jiulize China Walifanikiwa Kumaliza Huu Ugonjwa Kwa QUARANTINE lakini Tanzania Sisi Tumefuta Hiyo Kitu Unategemea Maambukizi Yapo Kwa Kiasi Gani?

Waziri Wetu Wa Afya Amepumbazwa na Madaraka Anaogopa Kutumbuliwa Ila Ukweli Hali ni mbaya
 
Kwahiyo hadi sasa tujue ya kwamba hakuna maambukizi mapya hivyo kwa takribani wiki tatu sasa, watanzania tumejitahidi kupambana na hili janga la covid-19? Ama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu maambukizi huku majumbani watu wengi wanaugua na dalili za corona kabisa na wanapona, kama sasa watu wengi wana matatizo ya kutosikia radha ya chakula na tunaambiwa ni dalili za corona.
 
aljazeera wanataka kujipenyeza ndani nchi yetu ili watuvalishe mabomu ya kujilipua sokoni na kwenye mwendo kasi.
sio watu wazuri hawa tuwapuuze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani covid 19 death sio natural??
Unaelewa maana ya natural death??
 
kwa mfano wakishatangaza basi kuna wagonjwa 100K na vifo million, enhe so whats next?
Si ili tumlaumu Magufuli kuwa uzembe wake ndio umesababisha matokeo hayo, angetusikiliza Tanzania isingekuwa na corona.
 
Mimi Ni Mtumishi Wa Afya Nipo Kwenye Hiki Kitengo cha kupambana Na COVID-19 Mkoa X , Kikubwa Tuchukue Tahadhari Hali Ni Mbaya Sana Sana Sana. Si Mnasikia Maabara Ipo Kwenye Marekebisho Maabara Ya Taifa? Sahizi Kila Kipimo ni NEGATIVE. Mbaya Zaidi Sahizi Hata Ukiwa Suspected Unaruhusiwa Kwenda Nyumbani Na Kujichanganya Na Watu Hakuna Kitu Kinaitwa QUARANTINE kwa Tanzania (Only In Tanzania), Jiulize China Walifanikiwa Kumaliza Huu Ugonjwa Kwa QUARANTINE lakini Tanzania Sisi Tumefuta Hiyo Kitu Unategemea Maambukizi Yapo Kwa Kiasi Gani?

Waziri Wetu Wa Afya Amepumbazwa na Madaraka Anaogopa Kutumbuliwa Ila Ukweli Hali ni mbaya
Mkuu unaonaje ukajiripuwa ukaeleza uhalisia hadharani?
 
Mungu akubariki kwa kusema ukweli

Wewe ni muongo! Tena muongo kweri kweri!
 
Hasa hasa wanasiasa wa ccm walichofanya walianzisha kikosi kazi cha kukusanya kodi kwenye sekta ya utalii.
Wakakipa bajeti ya mil 65.

Damn.! And the letter is confidential.
Imagine in this emergency situation, President is forcing tourism business man and companies to pay tax.
Tourism is dead.
Then, you can imagine what type of President we have.

Hotels has been closed, restaurants closed. They have been closed kwa sababu hakuna wateja.
Na kigwa naye ni useless ni kama hayupo kabisa

Sioni logic ya kuficha namba. Ikiwa namba itakua kubwa na itaonyesha Tz imezidiwa so are other countries hakuna cha kuonea aibu hapa.

USA kapokea msaada toka China over Corona, Switzerland wameanza kugawa chakula so kila mtu kazidiwa its not like Tz kuonyesha imezidiwa itakua jambo la ajabu so what's the logic behind?

Kuna mambo kama haya hua tulizoea kuyasikia Burundi, Urusi, Libya ya Gadafi, China leo hii yapo kwetu na yananishangaza kiukweli. Itakua aibu miaka kadhaa mbele nikiwa JF nikute kijana wa miaka hiyo anauliza ilikuaje Tz ikawa inaficha data na mimi ndiye babu wa kumpa jibu.

This is bullshit.
 
Back
Top Bottom