Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al-jazeera ni mabeberu sio waarabu haoAl-jazeera wanatumwa na mabeberu[emoji41][emoji41]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Kuhusu maambukizi huku majumbani watu wengi wanaugua na dalili za corona kabisa na wanapona, kama sasa watu wengi wana matatizo ya kutosikia radha ya chakula na tunaambiwa ni dalili za corona.Kwahiyo hadi sasa tujue ya kwamba hakuna maambukizi mapya hivyo kwa takribani wiki tatu sasa, watanzania tumejitahidi kupambana na hili janga la covid-19? Ama
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ili tumlaumu Magufuli kuwa uzembe wake ndio umesababisha matokeo hayo, angetusikiliza Tanzania isingekuwa na corona.kwa mfano wakishatangaza basi kuna wagonjwa 100K na vifo million, enhe so whats next?
Mkuu unaonaje ukajiripuwa ukaeleza uhalisia hadharani?Mimi Ni Mtumishi Wa Afya Nipo Kwenye Hiki Kitengo cha kupambana Na COVID-19 Mkoa X , Kikubwa Tuchukue Tahadhari Hali Ni Mbaya Sana Sana Sana. Si Mnasikia Maabara Ipo Kwenye Marekebisho Maabara Ya Taifa? Sahizi Kila Kipimo ni NEGATIVE. Mbaya Zaidi Sahizi Hata Ukiwa Suspected Unaruhusiwa Kwenda Nyumbani Na Kujichanganya Na Watu Hakuna Kitu Kinaitwa QUARANTINE kwa Tanzania (Only In Tanzania), Jiulize China Walifanikiwa Kumaliza Huu Ugonjwa Kwa QUARANTINE lakini Tanzania Sisi Tumefuta Hiyo Kitu Unategemea Maambukizi Yapo Kwa Kiasi Gani?
Waziri Wetu Wa Afya Amepumbazwa na Madaraka Anaogopa Kutumbuliwa Ila Ukweli Hali ni mbaya
Hakuna sehemu waliofanya comparisonKwa hiyo wanatuambia idadi ya wanaokufa Tanzania na Covid-19 ni zaidi ya USA na UK proportionately?
siyo limeondoka tu ...na admin ameswekwa ndani sasa hivi
Shit your parents!Shit country!
Mimi Ni Mtumishi Wa Afya Nipo Kwenye Hiki Kitengo cha kupambana Na COVID-19 Mkoa X , Kikubwa Tuchukue Tahadhari Hali Ni Mbaya Sana Sana Sana. Si Mnasikia Maabara Ipo Kwenye Marekebisho Maabara Ya Taifa? Sahizi Kila Kipimo ni NEGATIVE. Mbaya Zaidi Sahizi Hata Ukiwa Suspected Unaruhusiwa Kwenda Nyumbani Na Kujichanganya Na Watu Hakuna Kitu Kinaitwa QUARANTINE kwa Tanzania (Only In Tanzania), Jiulize China Walifanikiwa Kumaliza Huu Ugonjwa Kwa QUARANTINE lakini Tanzania Sisi Tumefuta Hiyo Kitu Unategemea Maambukizi Yapo Kwa Kiasi Gani?
Waziri Wetu Wa Afya Amepumbazwa na Madaraka Anaogopa Kutumbuliwa Ila Ukweli Hali ni mbaya
Serikali ipi?😂😂😂😂😂hii hii inayopima Kina jabir Hamza😂😂😂😂😂
Ukimya wa mamlaka kutotoa takwimu za huu ugonjwa kwa kisingizio cha uchunguzi wa maabara ni kutukosea wananchi.
Al-jazeera wanatumwa na mabeberu[emoji41][emoji41]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Nyie roho zenu mbaya sana yote haya ni kwa ajili ya matumbo yenu. Mtakuta wote mnatokea kanda ile ya chattle. Acheni ukweli ujulikane.Watahangaika na Tanzania lkn hatutatikisika hata nukta
Wewe ni muongo! Tena muongo kweri kweri!Mimi Ni Mtumishi Wa Afya Nipo Kwenye Hiki Kitengo cha kupambana Na COVID-19 Mkoa X , Kikubwa Tuchukue Tahadhari Hali Ni Mbaya Sana Sana Sana. Si Mnasikia Maabara Ipo Kwenye Marekebisho Maabara Ya Taifa? Sahizi Kila Kipimo ni NEGATIVE. Mbaya Zaidi Sahizi Hata Ukiwa Suspected Unaruhusiwa Kwenda Nyumbani Na Kujichanganya Na Watu Hakuna Kitu Kinaitwa QUARANTINE kwa Tanzania (Only In Tanzania), Jiulize China Walifanikiwa Kumaliza Huu Ugonjwa Kwa QUARANTINE lakini Tanzania Sisi Tumefuta Hiyo Kitu Unategemea Maambukizi Yapo Kwa Kiasi Gani?
Waziri Wetu Wa Afya Amepumbazwa na Madaraka Anaogopa Kutumbuliwa Ila Ukweli Hali ni mbaya
Sioni logic ya kuficha namba. Ikiwa namba itakua kubwa na itaonyesha Tz imezidiwa so are other countries hakuna cha kuonea aibu hapa.
USA kapokea msaada toka China over Corona, Switzerland wameanza kugawa chakula so kila mtu kazidiwa its not like Tz kuonyesha imezidiwa itakua jambo la ajabu so what's the logic behind?
Kuna mambo kama haya hua tulizoea kuyasikia Burundi, Urusi, Libya ya Gadafi, China leo hii yapo kwetu na yananishangaza kiukweli. Itakua aibu miaka kadhaa mbele nikiwa JF nikute kijana wa miaka hiyo anauliza ilikuaje Tz ikawa inaficha data na mimi ndiye babu wa kumpa jibu.
This is bullshit.