Niwaonee huruma Kwa sababu zipi? Wewe huko kwenu Chunya kazi ya mama hujaona? Au unajibalaguza hapa?
Ona Chunya ilivyokuza Mapato ya ndani chini ya Uongozi wa mama hapa 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C5iCLtKNKkU/?igsh=eHhqMGVtczBtanM1
Unajua sababu? Mama amegawia mtambo wa kutafuta Madini wachimbaji wadogo huko na pia Soko la Madini limejengwa ,Kituo Cha GST na umeme umepelekwa Kwa wachimbaji wadogo bila kusahau Huduma zingine.
Pia mama amefufua Kilimo Cha tumbaku huko Chunya ,saizi Tzn ni ya kwanza Afrika Kwa Kuzalisha tumbako.
Harafu anatokea mjinga mmja na Kundi lake anaongea shit Kwa Samia