Jamesdominic
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 549
- 732
Biggest laughing for ma home.Sasa ipo hivyo Nchi nzima sio tuu hapo Rukwa ni Kila Mkoa.
Unakujua KalamboView attachment 2973837View attachment 2973838View attachment 2973839View attachment 2973840? Sasa kule Vijijini watu tunafika kununua mazao sehemu zilikiwa hazifiki,nilipiga picha Kijiji Kimoja kule mto Kalambo ,ona daraja walilojenga
Huoni humu mnavyopapadika Kwa maneno wakati Mimi naweka takwimu,picha na video.
Wakati Magufuli anasingizia Sgr,bwawa and the likes Samia anajanga hayo yote bila visingizio na mengine meeeeengi ikiwemo maelfu ya Ajira Kwa Vijana ambao Magufuli alishindwa Kuajiri πππ
Kwani Shilingi ya Tzn kuwa dhaifu imeanza Leo?Shilingi ya Tanzania ni miongoni mwa Sarafu Dhaifu zaidi Afrika. BoT Mnafeli Wapi?
Sarafu ya Tanzania yaani Shilingi ni Kato ya Sarafu Dhaifu zaidi hapa Afrika ikishika namba Saba. Licha ya Tanzania kuwa miongoni Nchi Zenye uchumi imara na mkubwa hapa Afrika ila haijasaidia Sarafu yake kuimarika Dhidi ya Mataifa yenye uchumi mdogo kama Zambia,Rwanda au hata Burundi. ==...www.jamiiforums.com
Pitia kwanza uzi wako huo.
Uhalisia unaujua lkn hua unapenda kuchallenge watu
Kumbukumbu ya fikra, matendo na sera haizikwi na marehemu, na hiyo ndiyo iliyoshindanishwa.Ni Aibu sana kushindanishwa na maiti,, Alafu maiti ikaibuka na ushindi mnono π€π€π€π€.
Niwaonee huruma Kwa sababu zipi? Wewe huko kwenu Chunya kazi ya mama hujaona? Au unajibalaguza hapa?Ikifika 2030 , utawaonea vijana huruma. Wewe pia nafasibuliyonayo hutakuwa nao. Weka pension Yako vizuri
Sarafu kuwa na thamani ndogo Dhidi ya Dola has insignificant effect kwenye uchumiShilingi ya Tanzania ni miongoni mwa Sarafu Dhaifu zaidi Afrika. BoT Mnafeli Wapi?
Sarafu ya Tanzania yaani Shilingi ni Kato ya Sarafu Dhaifu zaidi hapa Afrika ikishika namba Saba. Licha ya Tanzania kuwa miongoni Nchi Zenye uchumi imara na mkubwa hapa Afrika ila haijasaidia Sarafu yake kuimarika Dhidi ya Mataifa yenye uchumi mdogo kama Zambia,Rwanda au hata Burundi. ==...www.jamiiforums.com
Pitia kwanza uzi wako huo.
Uhalisia unaujua lkn hua unapenda kuchallenge watu
'Power Point presentation' hizi ndizo mnamwandalia Samia kutafutia kura kwa wananchi 2025?Atapataje shida wakati darasani tunajaza majibu sahihi? Yaani Mimi Nina div 1 kuanzia Std seven hadi form 6 atapataje shida?
Nyie wajinga ambao mnatumia hisia za chumbani kwenu kulinganisha na mnakimbia takwimu ndio Walimu wenu waliokata shida π€£π€£
Takwimu za uhalisia hizi hapa πView attachment 2973831
Hiyo poll haihusiha watu wenye akili labda wanyonge, hakuna mtu mwenye akili atampigia magufuliMagufuli huwezi kumpiga kijinga kijinga mbele za watu ukabaki salama! Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli! Samia mwenyewe licha ya makelele ya machawa bado kapigwa chini!
Umemaliza kaziWaliopiga kura itakuwa wanyonge walalahoi wala mihogo tu
Watu hawaelewi hata dhana ya CAG.Hivi wao wanadhani let say Machadema wanashika Dola ndio hela zitaacha kupotea? Maya be zitapungua Kwa kiasi tuu'Power Point presentation' hizi ndizo mnamwandalia Samia kutafutia kura kwa wananchi 2025?
Itapendeza sana kama mtazitegemea hizi kupata kura za wananchi, badala ya kutumia polisi na njia zingine haramu za kuwabakiza madarakani.
Wananchi wanazifahamu na kuziamini sana zile pesa CAG anazodai zimepotea/liwa kila mwaka; bila hata ya kuwaonyesha haya madoido ya mawasilisho tu kwao.
Yote hayo wananchi wanajuwa yametoka kwa kichaa Magufuli. Kazi za Samia wanazijuwa ni kuuza mali za nchi nje hovyo hovyo tu kwa ujinga wa uwekezaji.Niwaonee huruma Kwa sababu zipi? Wewe huko kwenu Chunya kazi ya mama hujaona? Au unajibalaguza hapa?
Ona Chunya ilivyokuza Mapato ya ndani chini ya Uongozi wa mama hapa ππ
View: https://www.instagram.com/p/C5iCLtKNKkU/?igsh=eHhqMGVtczBtanM1
Unajua sababu? Mama amegawia mtambo wa kutafuta Madini wachimbaji wadogo huko na pia Soko la Madini limejengwa ,Kituo Cha GST na umeme umepelekwa Kwa wachimbaji wadogo bila kusahau Huduma zingine.
Pia mama amefufua Kilimo Cha tumbaku huko Chunya ,saizi Tzn ni ya kwanza Afrika Kwa Kuzalisha tumbako.
Harafu anatokea mjinga mmja na Kundi lake anaongea shit Kwa Samia
Mwendazake hana huo ubavu wa ku deal na maisha ya watu yeye alikuwa busy na Sgr,bwawa na mambo kama hayo ambayo hayana maana Kwa maisha ya individuals wa huko Chunya,Katavi and the likes.Yote hayo wananchi wanajuwa yametoka kwa kichaa Magufuli. Kazi za Samia wanazijuwa ni kuuza mali za nchi nje hovyo hovyo tu kwa ujinga wa uwekezaji.
Hapana. Ni kunyimwa masurufu waliyozoea kupewa wasione lolote bayandani ya serikali hii.Mwananchi wametishwa kutekwa
Sasa kwani vikwazo vimewekwa na Samia ? ππππThread 'Tanzania yatajwa kuwa nchi ngumu kufanya biashara kutokana na uwepo wa vikwazo vingi' Tanzania yatajwa kuwa nchi ngumu kufanya biashara kutokana na uwepo wa vikwazo vingi
Haya jitetee na hapa chawa
Huwezi kumnyima 'credit' zake juu ya hao wachimbaji wadogo wadogo wa madini na soko la madini. Huwezi kuuficha ukweli huo kwa yeyote.Mwendazake hana huo ubavu wa ku deal na maisha ya watu yeye alikuwa busy na Sgr,bwawa na mambo kama hayo ambayo hayana maana Kwa maisha ya individuals wa huko Chunya,Katavi and the likes.
Mali ipi imeuzwa na Kwa bei gani? Hata Mkapa mlisema ameuza Mali ya Nchi ila ndio hizo Bado zipo π€£π€£