Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Hapa wanachotakiwa kufanya mwananchi ni kuondoa jina la JPM kwenye poll kama wakirudia hii poll lakini pia hili linaweza lisisaidie na wasithubutu kurudia hii kitu maana itakuwa mbaya zaidi cha msingi ni kuandaa ya Mama peke yake nayo inaweza isidaidie aiseeee….
 
Tafuteni slogan ya kuvutia kama "ukweli na uwazi", "maisha bora kwa kila Mtanzania"
Kazi zinaonekana na zinajieleza hakuna haja ya mazingaombwe na propaganda.

You know Samia is a leader of issues not mazingaombwe ya punda ,sijui kujifanya mchana Mungu sana and the likes
 
Wameshakoromewa hawa.
Ila yote ya yote ukweli usemwe MAGUFULI NI RAIS PEKEE KUWAHI KUTOKEA TANZANIA.
Shida ilikua utumiaji mabavu tu na kutokupenda kushaurika.
Ila Samia ni KIONGOZI WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA.
 
Kazi zinaonekana na zinajieleza hakuna haja ya mazingaombwe na propaganda.

You know Samia is a leader of issues not mazingaombwe ya punda ,sijui kujifanya mchana Mungu sana and the likes
Kazi gani wewe!?
Sema muendelezo wa kazi zilizokwishaanza awamu za nyuma.
Hakuna jipya na la maana Samia anafanya,zaidi amekwamisha mambo mengine.
 
Chawa wa mama umebaki pekeako unapambana hatari
 
Jamaa wa mtama hapo maelekezo yake yamehusika
 
Utajua mwenyewe, mie nnachojua JPM hakuwa babu kubwa sana hasa kwenye utawala bora, ila huyu mamako ni hamna kitu...kuna kakikundi fulani tu kadogo kenye maslahi ndio kanatumia nguvu kubwa kumpamba mf Nape ili waendelea kula kwa urefu wa kamba zao!
 

Wakiandaa nyingine lazima watu wao wa IT wawe stand by kufanya uchakachuaji .
Kwa sisi watu wa tafiti hiyo ya kwanza ndio ukweli mwenyewe itakayofata itakuwa ya kutengeneza watu wa research tunafahamu
 
Kwahy gazeti la mwananchi limekuwa la hovyo baada ya kuweka hy poll ila kabla ya hapo lilikuwa lizuri.?
 
Kazi zinaonekana na zinajieleza hakuna haja ya mazingaombwe na propaganda.

You know Samia is a leader of issues not mazingaombwe ya punda ,sijui kujifanya mchana Mungu sana and the likes
Kazi zingeonekana marehemu asingeshinda hapo inaonekana bibi kizee hamna alilofanya miaka 3 yote katoka Kapa na mwakani anaenda kutoka pale kwenye hicho cheo chake machawaa tumewashtukia 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Jambo lingine nililoona kwa hapa JF ni upande wa comments, zinazomsifia JPM zina reactions nzuri zenye kupendeza ila Comments zenye kumpinga JPM utakuta zina dislike na like kidogo πŸ˜‚ hii inaonyesha n kwa namna gn JPM anavokubalika.


Hata hapa JF, kuna uzi wa poll wa rais yupi unamkubali na JPM ndie aliyepata kura nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…