Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 441
- 565
Sukuma gang imeamua kuishi na mwenda zake kina namna yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi zinaonekana na zinajieleza hakuna haja ya mazingaombwe na propaganda.Tafuteni slogan ya kuvutia kama "ukweli na uwazi", "maisha bora kwa kila Mtanzania"
Kazi zinaonekana na zinajieleza hakuna haja ya mazingaombwe na propaganda.
You know Samia is a leader of issues not mazingaombwe ya punda ,sijui kujifanya mchana Mungu sana and the likes
Kazi zinaonekana na zinajieleza hakuna haja ya mazingaombwe na propaganda.
You know Samia is a leader of issues not mazingaombwe ya punda ,sijui kujifanya mchana Mungu sana and the likes
Wameshakoromewa hawa.Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Kazi gani wewe!?Kazi zinaonekana na zinajieleza hakuna haja ya mazingaombwe na propaganda.
You know Samia is a leader of issues not mazingaombwe ya punda ,sijui kujifanya mchana Mungu sana and the likes
Chawa wa mama umebaki pekeako unapambana hatariUkweli upi Sasa? 🤣🤣 Mbona mnalazimisha mliyoshindwa? 😁😁😁😁
Nimekueleza Samia kawapelekea umeme,kawanunulia mtambo wa Utafiti,kawajengea soko la Madini na kawapelekea Huduma za ugani wa Madini za GST kule Chunya.
On top of that kawapa eneo na amewarihusu wachimbe Hadi kwenye vitalu ambavyo Watu wa mazingira walizuia.
Samia anajua kutafuta hela ndio maana anafaulu usilinganishe na wajamaa unaowatetea ni waharibifu na watumiaji wa vya wengine
Jamaa wa mtama hapo maelekezo yake yamehusikaGazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba
Kabisa, yule ni kiazi kinachobebwa na utawala zero!Itakuwa Nape kawapiga mkwara mzito.
Utajua mwenyewe, mie nnachojua JPM hakuwa babu kubwa sana hasa kwenye utawala bora, ila huyu mamako ni hamna kitu...kuna kakikundi fulani tu kadogo kenye maslahi ndio kanatumia nguvu kubwa kumpamba mf Nape ili waendelea kula kwa urefu wa kamba zao!Kwani wajinga kuwa wengi kunazuia polling? Wewe hapo niambie Magufuli amemzidi Samia lipi hasa na Mimi nikueleze Samia aliyomzidi Magufuli,hata ukitaka leta sekta Moja baada ya nyingine tulinganishe.
Narudia kukuuliza tena,wewe unadhani aliyekuza Mapato kutoka 1.5T Hadi 2.2T Kwa miaka 3 nani amefanya kazi kubwa?
Sasa kama hamna kitu na haya anafanya huyo Babkubwa wako alifanya kipi?Utajua mwenyewe, mie nnachojua JPM hakuwa babu kubwa sana hasa kwenye utawala bora, ila huyu mamako ni hamna kitu...kuna kakikundi fulani tu kadogo kenye maslahi ndio kanatumia nguvu kubwa kumpamba mf Nape ili waendelea kula kwa urefu wa kamba zao!
Siku zote mbona niko peke yangu? Naskia sana Raha navyoona Samia anapiga kwenye mshono.Chawa wa mama umebaki pekeako unapambana hatari
Hapa wanachotakiwa kufanya mwananchi ni kuondoa jina la JPM kwenye poll kama wakirudia hii poll lakini pia hili linaweza lisisaidie na wasithubutu kurudia hii kitu maana itakuwa mbaya zaidi cha msingi ni kuandaa ya Mama peke yake nayo inaweza isidaidie aiseeee….
Kwahy gazeti la mwananchi limekuwa la hovyo baada ya kuweka hy poll ila kabla ya hapo lilikuwa lizuri.?Unaniambia mimi mkuu 'Mbaga, Jr'. Ni kipi hasa ulichoona nimeandika kilichokufanya univunjie heshima ya kunihusisha na mambo nisiyo husika nayo?
Au wewe ni mmoja wa vihio wengi tulionao humu, wanaojuwa kusoma lakini hawaelewi wanachokisoma!
Umenishangaza sana kuandika hayo uliyoandika kunijibu mimi na kunihusisha bila hata kuona ushahidi wowote kuwa nami ni hao unaowasema wewe.
Nadhani una matatizo ya uelewa wa ulichosoma. Umebwatuka tu, kujibu kama mtu aliyekuwa usingizini akiota jambo lisilokuwepo.
Usinihusishe na ujinga huo tena.
Kazi zingeonekana marehemu asingeshinda hapo inaonekana bibi kizee hamna alilofanya miaka 3 yote katoka Kapa na mwakani anaenda kutoka pale kwenye hicho cheo chake machawaa tumewashtukia 🤣🤣🤣🤣🤣Kazi zinaonekana na zinajieleza hakuna haja ya mazingaombwe na propaganda.
You know Samia is a leader of issues not mazingaombwe ya punda ,sijui kujifanya mchana Mungu sana and the likes
😬😬😬😬😬Nimecheka kwa sauti 😂😂😂