hata mkirudia leo kwa vigezo vingine!#CHUMAJPM# atakimbiza tuuuu!Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhiπ.
View attachment 2973698View attachment 2973699
R.I.P #CHUMAJPM# hata wakirudia leo chuma kitakimbiza tuu!Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhiπ.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Ukweli ndio ule wa majira!Kwahiyo CUF ilishinda Zanzibar?
Upande wa pili huoni ni hatari kama upinzani utapata mtu makini wa kushindana nae!Message gani? Kwani JPM ni mgombea 2025? Yaani JPM akiwa better than Samia inaathiri nini 2025?
Sasa upinzani kama mgombea ni wale wa 2020, hakuna anayemkubali JPM pia Mama Samia hamkubali JPM kwahiyo JPM hawezi kuwa factor kwenye uchaguzi wa 2025 labda kama kina Bashiru,Polepole, Mpina n.k wataanzisha chama ndio wanaweza capitalise political capital ya JPM.Upande wa pili huoni ni hatari kama upinzani utapata mtu makini wa kushindana nae!
2025 nipo na CHADEMA kama kawaida, kama kweli mama yenu ataruhusu demokrasia basi itakua kilio kikubwa sana huko Lumumba maana hakuna mtu timamu atawapigia kura CCM na Samia wenu.Chawa una haha hatari
Hivi mwaka 2025 utaenda na zitto au utaenda na mamayo
Umewekea excel sheet za TRA naona umeingia mitini.Jehu lile halina ushahidi wowote ni ujinga tu
Kwa hiyo siku hizi excel za TRA siyo za uongo tena?Umewekea excel sheet za TRA naona umeingia mitini.
Chawaaa!Hi ndio imekuwa hoja yangu tangu Mwanzo,ujue mbumbumbu Huwa ni watu punguani sana ,wanafukarishwa Kwa Watoto wao kutopata Ajira,Kilimo kinapuuzwa walikojaa,hawana uhuru wa kutoa maoni na kuhoja,wachache kwenye Utawala wanajitajirisha, mazingira ya biashara yameharibiwa walikuwa wanafunga Kila kukicha,lakini hao watu wanasema sera za Magufuli zilikiwa Bora unaishia kushangaa ila ukikumbuka kwamba Dunia na Tzn in particular imejaa wajinga wengi unawaacha hivyo hivyo.
Watu wa hivyo hata iwape takwimu na uhalisia Bado watabisha kung'ang'ania ujinga wao [emoji1787][emoji1787]
Unaonaje huu mhaho mnaopata sasa hivi kutoka kwa mfu?Kama hakutugalagaza akiwa hai, ndio itakuwa Sasa ukiwa unamwagia Maua kwenye Kaburi lake?
TRA ipi hii hii ya hapa kwa makima au ya URA ya Uganda unazungumzia?Umewekea excel sheet za TRA naona umeingia mitini.
Hao hao ndo wapiga kura.Tuanzishe nini? Mbona wewe Huwa unaanzisha na Bado hiyo Pua hatujawahi angukia?
Unategemea Wale waliokuwa wanaharibu Hifadhi ya Ngorongo watampogia Samia kura?
Mwendazake alikuwa Rais wa watu mafukara na wengine waliokata tamaa ya maisha.
Wajinga mumebakiza msamiati mmja kichwani kwenu unaitwa Chawa ππChawaaa!
Sasa mamayo atapigiwa kura na nani maana hao wapumbavu ndio wapiga kura wenyewe na hawamtaki
Hakuna Demokrasia ya ukweli kwenye Mataifa ya wajinga wengi,mtapewa nafasi ya ku exercise zoezi ila sio nafasi ya uamzi.Hao hao ndo wapiga kura.
Sawa!Sasa upinzani kama mgombea ni wale wa 2020, hakuna anayemkubali JPM pia Mama Samia hamkubali JPM kwahiyo JPM hawezi kuwa factor kwenye uchaguzi wa 2025 labda kama kina Bashiru,Polepole, Mpina n.k wataanzisha chama ndio wanaweza capitalise political capital ya JPM.
Kwanza hata wengi hawaelewi mambo ya sera Wala uchumi, Bali wanamkubali Magufuli kwakuwa alikuwa anakomoa matajiri, na kudhalilisha watumishi wa umma.Hi ndio imekuwa hoja yangu tangu Mwanzo,ujue mbumbumbu Huwa ni watu punguani sana ,wanafukarishwa Kwa Watoto wao kutopata Ajira,Kilimo kinapuuzwa walikojaa,hawana uhuru wa kutoa maoni na kuhoja,wachache kwenye Utawala wanajitajirisha, mazingira ya biashara yameharibiwa walikuwa wanafunga Kila kukicha,lakini hao watu wanasema sera za Magufuli zilikiwa Bora unaishia kushangaa ila ukikumbuka kwamba Dunia na Tzn in particular imejaa wajinga wengi unawaacha hivyo hivyo.
Watu wa hivyo hata iwape takwimu na uhalisia Bado watabisha kung'ang'ania ujinga wao π€£π€£
But why hukupiga usiye mlala hoiWaliopiga kura itakuwa wanyonge walalahoi wala mihogo tu
mama mkanye mwanaoGazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhiπ.
View attachment 2973698View attachment 2973699