Hi ndio imekuwa hoja yangu tangu Mwanzo,ujue mbumbumbu Huwa ni watu punguani sana ,wanafukarishwa Kwa Watoto wao kutopata Ajira,Kilimo kinapuuzwa walikojaa,hawana uhuru wa kutoa maoni na kuhoja,wachache kwenye Utawala wanajitajirisha, mazingira ya biashara yameharibiwa walikuwa wanafunga Kila kukicha,lakini hao watu wanasema sera za Magufuli zilikiwa Bora unaishia kushangaa ila ukikumbuka kwamba Dunia na Tzn in particular imejaa wajinga wengi unawaacha hivyo hivyo.
Watu wa hivyo hata iwape takwimu na uhalisia Bado watabisha kung'ang'ania ujinga wao [emoji1787][emoji1787]