Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
hata mkirudia leo kwa vigezo vingine!#CHUMAJPM# atakimbiza tuuuu!
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
R.I.P #CHUMAJPM# hata wakirudia leo chuma kitakimbiza tuu!
 
Upande wa pili huoni ni hatari kama upinzani utapata mtu makini wa kushindana nae!
Sasa upinzani kama mgombea ni wale wa 2020, hakuna anayemkubali JPM pia Mama Samia hamkubali JPM kwahiyo JPM hawezi kuwa factor kwenye uchaguzi wa 2025 labda kama kina Bashiru,Polepole, Mpina n.k wataanzisha chama ndio wanaweza capitalise political capital ya JPM.
 
Chawa una haha hatari

Hivi mwaka 2025 utaenda na zitto au utaenda na mamayo
2025 nipo na CHADEMA kama kawaida, kama kweli mama yenu ataruhusu demokrasia basi itakua kilio kikubwa sana huko Lumumba maana hakuna mtu timamu atawapigia kura CCM na Samia wenu.
 
Hi ndio imekuwa hoja yangu tangu Mwanzo,ujue mbumbumbu Huwa ni watu punguani sana ,wanafukarishwa Kwa Watoto wao kutopata Ajira,Kilimo kinapuuzwa walikojaa,hawana uhuru wa kutoa maoni na kuhoja,wachache kwenye Utawala wanajitajirisha, mazingira ya biashara yameharibiwa walikuwa wanafunga Kila kukicha,lakini hao watu wanasema sera za Magufuli zilikiwa Bora unaishia kushangaa ila ukikumbuka kwamba Dunia na Tzn in particular imejaa wajinga wengi unawaacha hivyo hivyo.

Watu wa hivyo hata iwape takwimu na uhalisia Bado watabisha kung'ang'ania ujinga wao [emoji1787][emoji1787]
Chawaaa!

Sasa mamayo atapigiwa kura na nani maana hao wapumbavu ndio wapiga kura wenyewe na hawamtaki
 
Umewekea excel sheet za TRA naona umeingia mitini.
TRA ipi hii hii ya hapa kwa makima au ya URA ya Uganda unazungumzia?
Kuna Jambo haujui ila kamuulize yule Mzee wako sea view au kule Mbweni ndio utajua haujui mmemsimanga
marehemu kuficha uovu wenu sasa mzimu umerudi upyaaa tunataka mfe wote Taifa libaki salama kwa faida ya vizazi vijavyo.
 
Tuanzishe nini? Mbona wewe Huwa unaanzisha na Bado hiyo Pua hatujawahi angukia?

Unategemea Wale waliokuwa wanaharibu Hifadhi ya Ngorongo watampogia Samia kura?

Mwendazake alikuwa Rais wa watu mafukara na wengine waliokata tamaa ya maisha.
Hao hao ndo wapiga kura.
 
Chawaaa!

Sasa mamayo atapigiwa kura na nani maana hao wapumbavu ndio wapiga kura wenyewe na hawamtaki
Wajinga mumebakiza msamiati mmja kichwani kwenu unaitwa Chawa 😁😁

Iko hivi,kundi kubwa la wajinga na werevu wachache Huwa Wanapewa nafasi ya kuchagua(kufanya uamzi) wa viongozi ngazi ya chini kuanzia Ubunge na kushuka,from hao wateule tutapa viongozi werevu wachache na wajinga wengi.

Ila Sasa kwenye nafasi ya Urais hakuna mjinga atapewa nafasi ya uamzi Bali nafasi ya ku exercise zoezi pa uchaguzi.

System haiko tayari kumpoteza Rais dizaini ya Samia Kwa matakwa ya kundi kubwa la wajinga.Wajinga Huwa hawaelewi chochote zaidi ya kujikiya kwenye petty issues ukiwemo wewe.

Nina maswali mengi ya kukuuliza ambayo yataonesha ulivyo mjinga maana majibu huna 😂😂
 
Sasa upinzani kama mgombea ni wale wa 2020, hakuna anayemkubali JPM pia Mama Samia hamkubali JPM kwahiyo JPM hawezi kuwa factor kwenye uchaguzi wa 2025 labda kama kina Bashiru,Polepole, Mpina n.k wataanzisha chama ndio wanaweza capitalise political capital ya JPM.
Sawa!
 
Hi ndio imekuwa hoja yangu tangu Mwanzo,ujue mbumbumbu Huwa ni watu punguani sana ,wanafukarishwa Kwa Watoto wao kutopata Ajira,Kilimo kinapuuzwa walikojaa,hawana uhuru wa kutoa maoni na kuhoja,wachache kwenye Utawala wanajitajirisha, mazingira ya biashara yameharibiwa walikuwa wanafunga Kila kukicha,lakini hao watu wanasema sera za Magufuli zilikiwa Bora unaishia kushangaa ila ukikumbuka kwamba Dunia na Tzn in particular imejaa wajinga wengi unawaacha hivyo hivyo.

Watu wa hivyo hata iwape takwimu na uhalisia Bado watabisha kung'ang'ania ujinga wao 🤣🤣
Kwanza hata wengi hawaelewi mambo ya sera Wala uchumi, Bali wanamkubali Magufuli kwakuwa alikuwa anakomoa matajiri, na kudhalilisha watumishi wa umma.
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
mama mkanye mwanao
kwa kifupi wamepigwa biti
 
Back
Top Bottom