JPM kaacha alama za nguvu!Ukijumlisha 17 za awamu ya nne na 17 za awamu ya sita bado hazimfikii Jiwe duh. Wamefanya vizuri kuomba msamaha wanatakiwa wasiwe wanaliweka jina la Jpm kwenye kushindanisha kwasababu hakuna siku watamshinda.
Kama hawezi shindwa mbona alikua anaogopa chaguzi huru na haki?. Kweli wajinga ndio mlikua mnamshabikia!!Ukijumlisha 17 za awamu ya nne na 17 za awamu ya sita bado hazimfikii Jiwe duh. Wamefanya vizuri kuomba msamaha wanatakiwa wasiwe wanaliweka jina la Jpm kwenye kushindanisha kwasababu hakuna siku watamshinda.
Kiini kipi? Mfano ufisadi bandarini na NIDA mbona alishindwa? Mfano vitambulisho tu mpaka leo watu hawana mwaka wa 10 sasa!!Hakuna sindano ya dawa nzuri, ni maumivu, lakini kwa asilimia kubwa mgonjwa anapona. Kwa maneno mengine JPM alikuwa anashughulikia kiini cha matatizo hayo uliyoyataja!!
Na hii taarifa fupi ya serikali juu ya mafanikio ya Awamu ya Tano nayo ina makosa?!!!!Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Hao wengine walifanikiwa kwenye hayo? Wa sasa amefanikisha kwa kiasi gani juu ya hayo?Kiini kipi? Mfano ufisadi bandarini na NIDA mbona alishindwa? Mfano vitambulisho tu mpaka leo watu hawana mwaka wa 10 sasa!!
Wewe mwenyewe ni sehemu ya wiziHakuna mwaka hakuna ufisadi hii nchi, niambie ni ripoti gani ya CAG enzi za JPM ilikuta hakuna ufisadi? Nitajie moja tu?. Ni wajinga tu walidanganyana eti hakuna ufisadi enzi za JPM wakati ripoti zipo wazi hata Google unazikuta.
Kwa sasa zimefunguliwa zimeleta faida gani inayokunufaisha wewe hapo ulipo unasumbuka kwenye mtandao bila tija yoyote?Hoja ilikua kwamba JPM alizuia mianya ya kukwepa kodi ila mama anacheka cheka ndio nimewauliza mbona mapato yanaongezeka if at all mama kafeli kubana wakwepa kodi?
Kwa kukujibu tu, ni kwamba 70% ya mapato Tanzania yanalipa wagebill na Madeni. So kama unataka uone reflection ya pesa inayotumika angalia ajira alizotoa vs JPM ndio utaona wagebill ilivyo kubwa. Kingine bajeti za kilimo zimeongezwa same to miradi inayoendelea mfano SGR, JNHEP zote hizo interest rate zipo juu so deposits za kulipa mikopo na riba ziko juu na kila mwezi tuna deposit.
Nani kamhujumu? JPM mwenyewe alikua wazi kwamba mwekezaji haeleweki anamfukuza. Alikataa negotiations za bandari ya Tanga, alikataa mikataba ya gesi lindi, alifutia leseni makampuni ya madini, alifungia Bureau de change, alifungia biashara zisizolipa kodi n.k sasa kama yeye ndio alinyoosha wawekezaji kama Manji hadi wakakimbia nchi kivipi useme alihujumiwa?. Cha ajabu Mama samia ambaye hajatumia mabavu wala kukamata makinikia ndio ameongeza ukusanyaji mapato zaidi ya 30% kuliko JPM!! amewezaje?
Anzisha polling yoyote na yeye awepo ikiwezekana na wewe ujiweke uone atakavyokuburuza na hao unaoona walifanya makubwaKama hawezi shindwa mbona alikua anaogopa chaguzi huru na haki?. Kweli wajinga ndio mlikua mnamshabikia!!
NIDA imefutwa na majukumu yake imepewa RITA na ipo kwenye process ya ku wind up. About TPA ufisadi umezidi wakaona apewe private sector, majibu tutayapata mwakani nikuhakikishie tu hao dp world hawawezi kuwa worse than TPA!!Hao wengine walifanikiwa
Hao wengine walifanikiwa kwenye hayo? Wa sasa amefanikisha kwa kiasi gani juu ya hayo?
Jibu swali, waliohusika na wizi wa mali za CCM walifunguliwa wapi kesi?Wewe mwenyewe ni sehemu ya wizi
Nipo private sector, na sababu ya sera nzuri za Mama, taasisi nayofanyia kazi ilipata investmenf funding nzito kutoka abroad na ndio inaniweka mjini. Unadhani kipindi cha JPM hao mabeberu wangeweza kuja? Maana aliona kila mwekezaji kama jizi tu.Kwa sasa zimefunguliwa zimeleta faida gani inayokunufaisha wewe hapo ulipo unasumbuka kwenye mtandao bila tija yoyote?
Mara ngapi? Nakumbuka 2020 polls nyingi za online zilionyesha Lissu was toe to toe na JPM mfano hii.Anzisha polling yoyote na yeye awepo ikiwezekana na wewe ujiweke uone atakavyokuburuza na hao unaoona walifanya makubwa
Maneno mengi bila ushahidi tutaaminije?Makusanyo ya JPM yalikua na faida gani? Maana miradi yote ilijengwa kwa mikopo, hakutoa ajira, hakupandisha mishahara, sasa hizo pesa alizobania matumizi alizitumia wapi? Mbona Mama anaspend kuliko JPM na bado anaajiri, kuongeza mishahara, miradi analipa madeni n.k!! Amewezaje?
Kuhusu ufisadi tokea enzi za JPM CCM walikua wanaiba na hakuna hatua zilichukuliwa. Mfano ACACIA walitupa loss ya Trillion 400+ ila bado walipewa hisa 84%, waliruhusiwa kusafirisha makinikia na kesi zote tulizowafungulia tulifuta.
Mwanyika yule VP wa ACACIA alikua na kesi ya uhujumu uchumi ya zaidi ya 2B ila sio tu aliachiwa ila alipewa ubunge na JPM!! same to Nchambi alikamatwa na nyara za serikali na bunduki za ujangili ila aliachiwa na aliendelea na ubunge.
Bashiru naye alikagua mali za CCM akagundua ufisadi wa kutisha ila JPM na ubabe wote ule hakuwahi mchukulia hatua hata mmoja!! Zaidi alibembeleza walioba warudishe kwa hiari.
Ripoti ya CAG tokea 2015/16 zimekua zikitaja mafisadi kila mwaka cha ajabu CAG alipotaka kukagua manunuzi ya ndege na SGR akaondolewa kazini!! Sasa kama JPM alikua na nia ya kuzuia wizi why azuie CAG asikague TGFA?
Haya kuelekea uchaguzi wa 2020, JPM alituma TAKUKURU kuchunguza watoa rushwa kura za maoni. Cha ajabu ile ripoti sio tu ilifanywa siri ila waliotoa rushwa hawakupelekwa mahakamani zaidi ya kukatwa tu kinyume na sheria iliyoanzisha TAKUKURU. Yaani mtu anatoa rushwa adhabu yake ni kunyima tiketi ya kugombea na sio jela tena?
So kama issue ni kuchukua hatua JPM alikua anatumia makamera tu kufoka ila kiuhalisia majizi kibao aliyachekea. Hata wale waliokamatwa kwa kesi za uhujumu uchumi kuanzia Seth, Ruge sijui hakuna aliyekutwa na hatia mpaka leo. So huwa nashangaa wafuasi wake mnavyompamba kuwa alikua na maamuzi magumu sijui anachukua hatua.
Hahaha umemchukia chuma JPM mpaka umeishia kuwa chawa wa Samia asiye na maslahi hahaha... safari yako bado ndefu tunza energy JPM ataendelea kuishi sanaNipo private sector, na sababu ya sera nzuri za Mama, taasisi nayofanyia kazi ilipata investmenf funding nzito kutoka abroad na ndio inaniweka mjini. Unadhani kipindi cha JPM hao mabeberu wangeweza kuja? Maana aliona kila mwekezaji kama jizi tu.
Shukuru sana kwa ushahidi hata mimi kabla ya JPM kuwa rais nilikuwa mfuasi sana wa Chadema na Lissu ila baada ya jamaa kuapishwa na kuanza kupiga kazi nilimkubali sana angalau alionyesha njia.Mara ngapi? Nakumbuka 2020 polls nyingi za online zilionyesha Lissu was toe to toe na JPM mfano hii.
View attachment 2977573
Cha ajabu kila online poll alikua akishinda Lissu, nakumbuka humu JF ukaanzishwa uzi huu kukejeli kwamba Lissu ataapishwa urais na Mark Zuckerberg?
Uchaguzi 2020 - Mark Zuckerberg ndiye atakayemwapisha Tundu Lissu?
Cha ajabu miaka 4 baadae wafuasi wa JPM ndio wanaamini online polls zinaakisi ukweli? Huu unafiki wenu unawasaidia nini?
Cc Pascal Mayalla
Hoja zako nyepesi sana...Makusanyo ya JPM yalikua na faida gani? Maana miradi yote ilijengwa kwa mikopo, hakutoa ajira, hakupandisha mishahara, sasa hizo pesa alizobania matumizi alizitumia wapi? Mbona Mama anaspend kuliko JPM na bado anaajiri, kuongeza mishahara, miradi analipa madeni n.k!! Amewezaje?
Kuhusu ufisadi tokea enzi za JPM CCM walikua wanaiba na hakuna hatua zilichukuliwa. Mfano ACACIA walitupa loss ya Trillion 400+ ila bado walipewa hisa 84%, waliruhusiwa kusafirisha makinikia na kesi zote tulizowafungulia tulifuta.
Mwanyika yule VP wa ACACIA alikua na kesi ya uhujumu uchumi ya zaidi ya 2B ila sio tu aliachiwa ila alipewa ubunge na JPM!! same to Nchambi alikamatwa na nyara za serikali na bunduki za ujangili ila aliachiwa na aliendelea na ubunge.
Bashiru naye alikagua mali za CCM akagundua ufisadi wa kutisha ila JPM na ubabe wote ule hakuwahi mchukulia hatua hata mmoja!! Zaidi alibembeleza walioba warudishe kwa hiari.
Ripoti ya CAG tokea 2015/16 zimekua zikitaja mafisadi kila mwaka cha ajabu CAG alipotaka kukagua manunuzi ya ndege na SGR akaondolewa kazini!! Sasa kama JPM alikua na nia ya kuzuia wizi why azuie CAG asikague TGFA?
Haya kuelekea uchaguzi wa 2020, JPM alituma TAKUKURU kuchunguza watoa rushwa kura za maoni. Cha ajabu ile ripoti sio tu ilifanywa siri ila waliotoa rushwa hawakupelekwa mahakamani zaidi ya kukatwa tu kinyume na sheria iliyoanzisha TAKUKURU. Yaani mtu anatoa rushwa adhabu yake ni kunyima tiketi ya kugombea na sio jela tena?
So kama issue ni kuchukua hatua JPM alikua anatumia makamera tu kufoka ila kiuhalisia majizi kibao aliyachekea. Hata wale waliokamatwa kwa kesi za uhujumu uchumi kuanzia Seth, Ruge sijui hakuna aliyekutwa na hatia mpaka leo. So huwa nashangaa wafuasi wake mnavyompamba kuwa alikua na maamuzi magumu sijui anachukua hatua.
Hapo kwenye mikopo..Makusanyo ya JPM yalikua na faida gani? Maana miradi yote ilijengwa kwa mikopo, hakutoa ajira, hakupandisha mishahara, sasa hizo pesa alizobania matumizi alizitumia wapi? Mbona Mama anaspend kuliko JPM na bado anaajiri, kuongeza mishahara, miradi analipa madeni n.k!! Amewezaje?
Hayo makadirio ulielewa maana yake?Mfano ACACIA walitupa loss ya Trillion 400+ ila bado walipewa hisa 84%, waliruhusiwa kusafirisha makinikia na kesi zote tulizowafungulia tulifuta.
Kupanda madaraja ya mshahara ni statutory ila kwa JPM haikuwezekana ila mama kaingia na watu walipandishwa madaraja ya mishahara.Kupandisha mishahara ni kweli hakupandisha, Samia ameongeza ngapi?
Ndio ni kodi na fine ya kodi iliyokwepwa kwa miaka 20 kwa makontena yote yaliyokuwa yakisafirishwa na makinikia. So estimations ni kwamba ni hasara ya Trillion 400 kwa TRA, hatukulipwa ila bado tukawapa hao hao Acacia 84% shares ya kampuni mpya!!.Hayo makadirio ulielewa maana yake?
Si walitudanganya kwamba ni 50:50 economic benefits eti tungegawana faida pasu kwa pasu. Cha ajabu kwenye mkataba ni 84% kwa mabeberu!! Alafu akapewa masifa weee kuwa kakomesha wazungu??Ulitaka umpe Barick asilimia ngapi kwa mkataba ule?
Hoja ni kwamba JPM hakuwahi kufanikiwa vita dhidi ya ufisadi ndio maana nmetoa mifano ya grand corruptions ambazo alifeli kuzishughulikia.Bado sijapata hoja yako kabisa, naona chuki tu